mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,215
- 867
Nilikuwa nasikia wimbo wa umri wa TMK Wanaume Family nikamsikia the late YP akichana ndio nikaanza kuwakumbuka majembe ya bongo fleva ambao hawapo tena hapa duniani.
Nimemkumbuka Geez Mabovu, Nimem miss Ngwair a.k.a Mimi, hasa kibao chake cha 'wikendi', ''kama wikend ndo tayari ishafika, watu kibao viwanjani wanamiminika..''
Namkumbuka Complex na kibao na Ay 'Ni raha tu'. Pia nam-miss sana Langa enzi zile na kundi la Wakilisha wakichana wimbo wa 'Kiswanglish'
Wewe unam-miss nani mkali wa Bongo flava aliyetangulia mbele ya haki lakini bado unam-miss? Comment ukimalizia na R.I.P.