Wasanii wa Bongo fleva waliotangulia mbele ya haki (R.I.P)

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,215
867
Nilikuwa nasikia wimbo wa umri wa TMK Wanaume Family nikamsikia the late YP akichana ndio nikaanza kuwakumbuka majembe ya bongo fleva ambao hawapo tena hapa duniani.

Nimemkumbuka Geez Mabovu, Nimem miss Ngwair a.k.a Mimi, hasa kibao chake cha 'wikendi', ''kama wikend ndo tayari ishafika, watu kibao viwanjani wanamiminika..''

Namkumbuka Complex na kibao na Ay 'Ni raha tu'. Pia nam-miss sana Langa enzi zile na kundi la Wakilisha wakichana wimbo wa 'Kiswanglish'

Wewe unam-miss nani mkali wa Bongo flava aliyetangulia mbele ya haki lakini bado unam-miss? Comment ukimalizia na R.I.P.
 
Nawakumbuka sana washkaji zangu waliokuwa wanaunda kundi la 'mambo poa'...John mjema(R.I.P) na steve 2K(R.I.P)
 
msimahau mr Ebo!!

mbado hujaona msungu mamantiliee..... mbado!!!!
 
  • Thanks
Reactions: amu
duuuh wana kibao wametangulia, Rip, ngwea, mabovu, langa, mr ebo, coplex $ vivi, chef ramso, kanumba, adam, daaah! wengine kibao. R i p.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom