road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,011
Kikweli sisi tulioishi miji mikubwa kama Dsm na kisha tukasarenda na kurudi vijijini au wilayan mwanzon tuliona ni dhihaka na aibu lakin kadiri muda unavyokwenda mimi situjii kabisa uamuzi niliouchukua!!!
Nikitembea miji kama Dsm natamani watu wengi wajaribu kufata nyayo zangu,sina mafanikio makubwa kiviiile lakin kama naiona kesho yenye nuru kuliko nilivyokua na banana hapo town!!!
Ninatamani wssanii badala ya kuimba mapeeenzi kila kibao sasa hebu geukeni muwe kama akina urafiki jazz walivyoimba nyakati zile kuhamadisha watu wafanye kazi za mikono zenye tija!? Mfano urafik wana kibao kinautwa "_jeza ulole" kina mashairi ya kuhamasisha watu wafanyekazi badala ya kung'ang'ania mijini.
Unakuta mtu anauza visu kwenye makutano ya barabara,soksi pair 5,penseli dazen nk!!?