Wasanii Tanzania,Hii Ndiyo Maana Yenu Ya Comedy?

JF bana, utakuta jitu linagombea remote na watoto kuangalia Futuhi na comedy za kibongo halafu humu linajifanya kuponda.
Huu utani wako siupendi naona kama unanidhalilisha!Siku ya futuhi Alhamisi watoto wanatazama mie naondoka nyumbani na kutembelea grosari ya karibu kupata kinywaji na kurudi saa nne na nusu usiku.Kuna mtu mmoja kwenye futuhi nikimwona anavyovaa na kusikia sauti yake tu natapika!Huyu hapa chini
 
Kwani Futuhi inaisha saa nne na nusu?
 
Sure unachosema lakin pia unakosea maana kuna watu m nawawelewa kama vile joti, kuna watu comedy yao ni kwny maneno na hyo ndo comedy za nchi nyingne. Mtu kama mpoki, mc pilipili kuna hawa jamaa Mambo na vijambo wako vema pia. Shughuli hawa wenzangu walobaki watumia nguvu nyingi
Mc pilipili hizo stand up comedy zake idea karibu 99% anachukuaga kule churchhill na kuziweka kwa kiswahili tu,hamna kitu pale.

Bora Joti,Mpoki ye anajifanyaga na misemo misemo yake ya kikuda tu eti"Hata Nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza Asali" sijui ndo nini sasa aisee.
 
Au mtu anajifanya amesahau position ya mlango anakatia kona ukutani aafu ghafla anashtuka..dah bongo bhna
...au anadumbukia kwenye ndoo ya maji. Physical comedy inapendwa sana na wachekeshaji wa tanzania na wanajikuta wanachekesha zaidi watoto wadogo badala ya watu wazima!
 
Comedy za Bongo bila kudundana hazija noga ,ni upuuzi mtupu tu.
Upuuzi kwelikweli mkuu.Wasanii wengi wanafikiri kuchekesha ni kukunja sura na kutoa ulimi nje au kumkwida mtu shati na kumtishia kumdunda.Ujuha mtupu na huwa sitazami.Startv ndiyo inayoongoza kwa kufadhili comedy za kijinga.Juzijuzi hapa wameanza kuonesha ujinga fulani unaoitwa Bakora, eti ni comedy jamani!Natamani hata kuwashtaki kwa kutudanganya kwamba hiyo ni comedy.
 
Bora Joti,Mpoki ye anajifanyaga na misemo misemo yake ya kikuda tu eti"Hata Nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza Asali" sijui ndo nini sasa aisee.
Mkuu, misemo ya Mpoki ni comedy daraja la kwanza kama akiipangilia vizuri.Misemo kama: "Hata mzungu awe mweupe kiasi gani kivuli chake kitakuwa cheusi tu" ni comedy imelala ndani mkuu! Halafu huyo Joti kaishiwa mno amebaki kuigiza uanamke. Hiyo si comedy, mwanaume kuigiza kuwa mwanamke haichekeshi ila inashangaza na kukasirisha!
 
Unazungumzia standup comedy mkuu! Kiboko ya standup comedy ni........... achana na hao matapeli wa nigeria....... kiboko ni Trevor Noah mkuu! Ulishamcheki huyu mtu lakini? Ni balaa kwenye standup comedy!
kuna daliso chaponda alishika nafasi ya tatu British got talent mwaka huu 2017, anatoka malawi yupo vizuri pia

audition

semi

final
 
Back
Top Bottom