Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,379
- 2,533
Wakuu habarini,
Wakati prof Jay anapiga kampeni kule jimbo la Mikumi Morogoro, asilimia kubwa ya wasanii walikuwa wanapiga kampeni za CCM, hakuna msanii hata mmoja aliyempigia kampen prof. Jay lakini leo hii prof. Jay ameshinda, wasanii haohao eti wanamtaka awapiganie bungeni chondechonde prof.jay usije kuwasemea wasanii wa Tanzania nenda kawasemee wananchi wa mikumi na watz wengine ila sio wasanii.