Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Wasanii na wanaharakati wamshambulia Waziri Dkt. Mwakyembe kufuatia kauli yake kuwa wasanii wasiimbe kuhusu siasa kwani hawatofanikiwa.
Inawezekana vipi tu juzi aseme kuwa Rais ameruhusu wimbo wa Nay (wa Mitego) upigwe redioni na kusisitiza kuwa yupo huru atunge nyimbo nyingine, halafu leo anakuja kusema kuwa mwanamuziki asiimbe nyimbo za siasa? Ndiyo sababu nina imani kauli hii nayo itakuja kufutwa,” alisema Mbilinyi.
My take:
Dk. Mwakyembe naye anadhani kukosoa viongozi ni matusi? Na hajiulizi kulikoni hata wasanii wameamua kusema ukweli kwa watawala?