Wasanii na viongozi washiriki kuzika wataoto waliokufa kwa Kutekwa Arusha

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Moureen David Njau alizaliwa tarehe 3/7/2010. Mpaka anafariki Dunia alikuwa ana miaka 7 tu. Hakika alikuwa bado mtoto mdogo kabisa.

Alikuwa na ndoto kubwa, pengine siku moja angeweza kuisaidia familia yake, pengine angeweza kuwa daktari akatutibu mimi na wewe, angeweza kuwa mwalimu akaielimisha jamii na Taifa letu la Tanzania.

Mimi na wewe tuwe walinzi, mimi na wewe tulinde na kusimamia amani kuanzia ngazi ya familia mpaka Taifa.

upload_2017-9-8_15-56-40.jpeg


upload_2017-9-8_15-57-6.jpeg


upload_2017-9-8_15-57-43.jpeg


upload_2017-9-8_15-58-16.jpeg


upload_2017-9-8_15-58-34.jpeg


upload_2017-9-8_15-58-53.jpeg


upload_2017-9-8_15-59-8.jpeg

upload_2017-9-8_15-59-27.jpeg


Chanzo: Clouds Fm
 

Attachments

  • upload_2017-9-8_15-59-49.jpeg
    upload_2017-9-8_15-59-49.jpeg
    51.4 KB · Views: 20
Back
Top Bottom