WASANII JITOKEZENI KUMSAIDIA.MSANII HAWA MSISUBIRI KUTOA RAMBIRAMBI

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Hakika Wasanii wetu wamekuwa kimya sana toka habari za kuugua kwa Msanii Hawa kutangazwa.Nimewataja wasanii wajitokeze kwa wingi ili watuongoze na watanzania wengine tumwokoe Binti huyo.Shime Wasanii msisubiri kwenda kutoa rambirambi tutoe michango yetu tuokoe maisha ya Msanii mwenzetu Bi.Hawa.
 
Diamond alimwambia atarejea kwani bado? Pia wasanii wajifunze kujitegemea sio kila janga watu tuwaze kutoa msaada.
Hivi kumbe ndo kale kabinti!

Na huo ndo ukweli... watu kila wakiambiwa dunia hii umekuja peke yako na utaondoka peke yako hawataki kuamini wala kuelewa!; haya sasa mambo ndo haya ya kuja kung'ang'anizana michango.
 
Back
Top Bottom