Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,416
- 3,911
Wakuu habari za humu!
Wasanii sasa hasa wa Muziki imekuwa sasa sifa ata kama ndo hivyo lakini mfanye kwa kipimo.
Nyimbo za kukisifu chama cha CCM zimekuwa nyingi Mno hizo zote kitu gani? Mnatafuta au mmeambiwa mnalipwa, mbona sioni msanii yoyote akiwa amewatungia nyimbo Upande wa pili CHADEMA. Wasanii wengine wanatoa karibia nyimbo nne za kukisifu tu Chama. Mfano Rayvanny, karibia zote za CCM, katoa sasa hivi tena CCM TETEMA.
Muwe na aibu kidogo; hata upande wa pili wanatamani waimbiwe. Je, wakishika nchi aibu yenu mtaiweka wapi? Yangu ni hayo tu -- mbadilike. Hao wakiingia hawawajali tena zaidi ya miaka mitano.