TEZIJIKE 2
Senior Member
- Nov 18, 2019
- 171
- 961
1. Professa Jay
Je, ni kweli ana degree hata moja?
2.Afande Sele
Je, amewahi kuwa hata mgambo?
3. Luteni Kalama
Cheo kikubwa sana nafikiri polisi au jeshini?
4. Inspector Haroun
Je, amewahi kuwa hata polisi wa kawaida?
5. Mheshimiwa Temba
Aidha mbunge, Au waziri
6. Imam Abbas
Nafikiri kwa wenzetu Waislam watakuwa wanafahamu usahihi wa hilo
7. Balozi
Kama unakumbuka Balozi bado nipo kwenye chat nashika ile namba moja natamba na uhakika kila mwaka wa kubaki kwenye chat
8. King Crazy GK
Ongeza unaye mfahamu mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app