Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Wanajamvi,
Napenda kuuliza swali hili kwa makamanda na wapenzi wa CHADEMA, kuwa wasaliti walio timuliwa CHADEMA wafanye nini wasamehewe ili warudi kundini waungane na makamanda maana wamekoma huko walikokimbilia hawana raha maana zile siasa za kisasa wanazikosa.
Kuna jamaa wa karibu yangu anajilaumu sana na kupatwa na mawazo kuwa anapata taabu sana kutokuwa mwanachadema, anajutia makosa yake ya usaliti aliyofanya kwa kushinikizwa,ameniuliza mimi kuwa afanyeje ili arudi CHADEMA? Nikamwambia ngoja niwaulize wadau jf watupatie majibu, Hivyo mwenye majibu tafadhari atupatie ili jamaa yangu afuate aweze kurudi CHADEMA ameungama amesema.
Jamani kumbe wanajuta hawa wasaliti walikokwenda hakuna mvuto kwa wananchi na vijana.