Wasaka ajira kuweni makini kwa huu utapeli

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
416
404
Angalia jinsi watu wanavyotapeliwa live live

Screenshot_20191022-114957.jpeg
 
Washenzi sana, sijui wanahisi pesa zinapatikana kirahc ivyo...km wangekuwa wanapatikana watu km hawa aisee ningeomba adhabu yao iwe kubwa sn kiax kwmb wasiwaze tena kurudia huu upuuz wao..
 
Ni kweli huo ujanja wa kutapeli ni wa kizembe sana ... Lakin siku zote mjin wajinga hawaishi, na ukiona siku wameisha basi ujue ni ww mwenyew ndo mjinga...
 
Back
Top Bottom