Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .

Umeandika vizuri kabisa na ktk mpangilio makini ila sijaelewa kwanini u nadhani it was wrong kwa Nape kuunda tume??
Kweli kabisa maana kama ni kutaka wasaidizi wa rais kumshauri, Nape alitengeneza roadmap nzuri ya kumashauri rais kupitia findings za tume! Nape was right, ila rais hakupenda kushauriwa tofauti na atakavyo yeye maana Ushauri sio ushawishi!
 
jamani hawa wasaidizi wake wangemwambia pia apunguze kutugombeza .....yaani kila mara sisi ni wa kugombezwa tu? atuhurumie
Shukuru wewe unagombezwa via vyombo vya habari.

Ulishawahi kujiuliza wale anaokaa nao tangu ameapishwa kuwa Rais wamegombezwa au kupigwa makofi kabisa mara ngapi, usisahu kipigo cha mama jesca , hadi akalazwa Muhimbili.
 
Paskali, ungekuwa unasomeka straight namna hi kwenye sakata zima la Bashite huenda yaliyotokea yangekuwa tofauti. Tatizo ni kwamba "news makers" hamueleweki. Kila siku mna msimamo tofauti kulingana ma mood mliyoamka nayo.
 
Kuna vitu ukweli vinakera sana,

Tukubali sasa mkuu anaoga matusi kuzidi hata kikwete kwa mbali, ukiingia insta, fb kumejaa matusi ya hatari, watu sasa wamekuwa hawana woga wowote, bora twitter na hapa bado kuna waungwana wanachuja ya kuandika ila sio insta na fb nadhani yeye Ndio chanzo
 
Wewe Mayalla vipi bwana.Kwani huwezi kuandika kitu kingine tofauti na Siasa na hasa Makonda?.Kwa mfano,serikali imezuia ORE concentrate export.Tangu Serikali imetoa tamko hilo what has been the positive/negative impacts to the nation's economy so far..Mheshimiwa Waziri Mkuu alikuwa Mauritius siku chache zilizopita na kuwaasa waMauritius kuja kuwekeza Tanzania nikawa najiuliza hawa Wamaurius wana nini cha ziada kuwekeza huku TZ nk,unaweza kuja kwenye angle hiyo tukajadili,tukaelimishana,nk.Mambo ni mengi
Na hilo aliloliandika ni miongoni mwa mengi!
 
Hayo unayotaka yajadiliwe yamefunikwa na haya yanayojadiliwa, yangekuwepo hayo ya world bank na bandarini tu bila kuwepo ya Makonda kila mtu angekuwa anajadili mazuri ya Rais tu.
 
Wanabodi,

Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili wengi waone.

Kipindi cha leo kusema ukweli muongozaji Dotto Bulendu na Ansbert Ngurumo wameitendea haki tasnia ya Habari dhidi ya vitisho vilivyotolewa jana na rais Magufuli.

Naomba nisiingie ndani sana kuhumu Ngurumo na Bulendu walisema nini kuhusu rais kutaka kuipangia media nini cha kuandika, mimi najikita kwa watu ambao ni wasaidizi wa rais wanajukumu la kumsaidia.
Haya chini ni yangu.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja, japa Tanzania ya sasa ni Tanzania ya Magufuli kama ilivyo Darisalamu ya Makonda.

Rais Magufuli ni kiongozi wetu, ni rais wetu, kutokana na kuwa yeye ndiye rais, taasisi ya urais ndiyo ni mamlaka kuu kiutawala kuliko mamlaka nyingine zote, ila pia Magufuli ni binadamu, sio malaika, hawezi kufanya kila kitu yeye peke yake ndio maana amewekewa wasaidizi mbalimbali wakiwemo washauri.

Kunawakati rais kama rais anatoa matamko tata au maamuzi tata yanayoashiria kuwa rais hakupewa ushauri sahihi kabla, kisha waziri wake anakuja kuibuka baadae na kuirekebisha kauli ya rais kwa kuifuta na kuweka mambo sawa.

Mfano mzuri ni siku ile rais alipotoa tangazo hili
Rais Kusitisha Uzazi wa Mpango Kwa"Fyatueni Watoto wa Kutosha",Ni ...
kisha waziri wake akaja kuibatilisha kauli hii kwa kusema rais alikuwa anatania tuu watani zake. Rais anapozungumza kwenye hotuba inayotangazwa moja kwa moja kwa taifa zima na akatangaza jambo fulani, hii maana yake ni kulitangazia taifa. Sijadhani kama Watanzania walichagua rais Msukuma ili atoe maagizo kwa watani wake Wazaramo kwenye matangazo ya moja moja mubashara ya kulitangazia taifa zima. Kauli yoyote ya rais ni sheria.

Rais kama binadamu na kama Msukuma ana haki ya kutaniana na watani zake Wazaramo vyovyote vile ataona inafaa, lakini utani huo ama autolee kwa Wazaramo wwnyewe na sio mubashara kwa taifa zima, na utani kama huu ukitolewa kwenye matangazo mubashara ya moja kwa moja kwa taifa zima, then rais akiishatoa utani kama huo amalizie kwa kusisitiza ni utani tuu au kwa Wazaramo tuu.

Kuna vitu rais wetu anasema au anafanya vinavyoashiria amekosa ushauri sahihi.

Mfano mzuri ni issue ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, hii issue imekuwa too much mishandled hadi kumchafulia rais na kumjengea chuki ndio maana kwenye mitandao ya kijamii watu wamekasirika sana hadi kumkosea heshima na kutoa lugha za machukizo.

Japo mimi sio mtu wa serikali, bali naamini Wakuu wa Utumishi wa Umma wote popote walipo ni wasaidizi wa rais. Wasaidizi wa rais wanaoaswa kuwa pro active kumsaidia rais wakali wote na sio kusubiri hadi waulizwe rasmi ndipo wasaidie.

Kadhia ya Paul Makonda kutumia vyeti ya kughushi na kufanya udanganyifu ilipoibuka tuu, kabla haijafikia stage ya kumchafulia rais, wasaidizi wa rais wanaohusika walipaswa kujitokeza wao na kumweleza rais ukweli kuwa ni kweli Paul Makonda ndie Daud Albert Bashite na yote yanayosemwa kumhusu mtu huyu ni ukweli kabisa hivyo wangemshauri the right thing to do, hili jambo lingekuwa limekwisha, lakini kumfukuza Waziri Nape kwa hasira na kuendelea kunyamaza as if nothing has happened, hukuwezi kusaidia kitu kuondoa hizo negative perception. Solution ya kudumu ni kuja na ukweli tuu. He has to tell the truth and the truth will set him free. Nikimaanisha baada ya ukweli kujulikana kuwa Daud Albert Bashite ndiye Paul Christian Makonda, then kwa wanaoujua ukweli huu kuwa Daud Albert Bashite ndiye Paul Christian Makonda, kwao he will always be Daud Albert Bashite, and never will he be Paul Christian Makonda, na huyu Paul Makonda he is an imposter!. Na kwa wale wote wanaomfahamu Paul Christian Makonda as Paul Christian Makonda, wataendelea kumfahamu kama Paul Makonda but with much skepticism and reasonable doubt kuwa could he be the real one or ni imposter hadi tuhuma zile zikanushwe rasmi kuwa ni uongo na uzushi!.

Tukija kwenye tukio la uvamizi wa Clouds Radio, Msaidizi wake Nape did the right thing kwa ku come forward na kusema wazi ule ni unajis wa mtu binafsi na sio serikali. Japo kuunda tume wasn't the right approach Nape kama Msaidizi wa rais ambaye ni Waziri, Makonda ni bwana mdogo sana kwake, angemkabili kuupata ukweli yeye and go straight kwa rais kumpa first hand information na kumwachia rais kufikia uamuzi.

Rais angekuwa ameshauriwa vuzuri na wasaidizi wake wanaoujua damage control, wangemshauri rais kuwa dogo ame mess, hivyo ili kulipa millage ya kutosha tukio la rais wa Benki ya Dunia, rais hakupaswa kusema chochote kumhusu huyo dogo. Tukio la uvamizi wa RC kwenye Chumba cha Habari ni tukio kubwa kuliko hata Benki ya Dunia ingehamishia strong room yake pale ikulu kutokana na proximity na impact ya news ya uvamizi.

Juzi asubuhi rais anafanya uteuzi mpya kwa hasira bila kutengua uteuzi wa zamani, kisha akaenda bandarini kwenye ziara ya kushtukiza. Huku nyuma akatokea kichaa mmoja kumtishia bastola waziri wake aliyetumbuliwa. Kihabari yaani ki newsworthyness, tukio la waziri kutishiwa bastola na kichaa fulani ni bigger news kuliko rais kutembelea bandarini.

Kwa vile rais hakufurahishwa jinsi media haikutoa umuhimu stahiki kwa matukio ya msingi yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa, na yeye pale ikulu anayo kurugenzi yake ya habari, lilikuwa ni jambo dogo tuu hata kuteta na Msigwa kwa kumuuliza hivi hii inakuwaje, Msigwa angemweleza tuu ukweli what was news kuliko rais kuonyesha hasira kwa media.

Wasaidizi wa rais wa kila eneo wana wajibu wa kumsaidia rais wetu kwa kumshauri kufanya uamuzi sahihi na kumwachia rais kufanya uamuzi wowote ila sisi kama Watanzania tuna shauku ya kumuona kila wakali rais wetu akifanya na kutenda the right thing at the right time and doing it right. Handling ya Makonda-Bashite-Nape Thing was a wrong thing, done at at a wrong time and done wrongly!.

Washauri wa rais mko wapi na kumuona rais wetu anasema na kutenda as if hana washauri?! .
Sisi jf tutaendelea kushauri kwa lengo la kujenga.

Kuhusu uhuru wa rais wetu kushauriwa, kupokea ushauri na kusema lolote, tulilizungumza hapa https://www.jamiiforums.com/threads...-na-anashauriwa-vizuri-tuu-ila.1107899/page-2

Tanzania ni yetu sote na rais Magufuli ni rais wetu wote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Jumamosi njema.
Paskali
Namnukuu ''mimi siyo wakunipangia, mimi ukinipangia ujue ndio basi ''
 
Tatizo Paskali huwa hueleweki una simamia nini, mara Makonda awe Rais, Mara tuthibitishe kama kweli Makonda ndio Bashite, leo tena umerukia huku, yaani hutulii kwenye lane moja uka elewekaga bro, sasa hata siku ukiongea mambo ya maana una kuta watu wanakushangaa tuu maana hawajui huwa una amini kitu gani
Ujajamjua paskal Mayala, anachofanya kuandika kila Kitu, kusifia yupo, kutabiri yupo, na kuponda yupo, anachofanya nikuweka Akiba kwa maandishi yake ili likitokea moja wapo, siku nyingine anakumbushia kua aliwai andika
 
f851275b931fa269b645ff839151feab.jpg

Duh! hili agano gani ndugu yangu?
 
Utamshauri nini raisi kama huyu..? Ile video ya mwanamke aliedai kazaa na Gwajima ilitengenezwa Producer akiwa yeye na Bashite kama Director wa hiyo movie.. Ilipofika saa 3 haoni vdeo kurushwa kampigia Director nae hakufanya ajizi akavamia studio kulazimisha.. Hapo utawalaumu washauri kweli..? Wangejua unafikiri wangekubali kudondoshewa jumba bovu..?
 
Wanabodi,

Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili wengi waone.

Kipindi cha leo kusema ukweli muongozaji Dotto Bulendu na Ansbert Ngurumo wameitendea haki tasnia ya Habari dhidi ya vitisho vilivyotolewa jana na rais Magufuli.

Naomba nisiingie ndani sana kuhumu Ngurumo na Bulendu walisema nini kuhusu rais kutaka kuipangia media nini cha kuandika, mimi najikita kwa watu ambao ni wasaidizi wa rais wanajukumu la kumsaidia.
Haya chini ni yangu.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja, japa Tanzania ya sasa ni Tanzania ya Magufuli kama ilivyo Darisalamu ya Makonda.

Rais Magufuli ni kiongozi wetu, ni rais wetu, kutokana na kuwa yeye ndiye rais, taasisi ya urais ndiyo ni mamlaka kuu kiutawala kuliko mamlaka nyingine zote, ila pia Magufuli ni binadamu, sio malaika, hawezi kufanya kila kitu yeye peke yake ndio maana amewekewa wasaidizi mbalimbali wakiwemo washauri.

Kunawakati rais kama rais anatoa matamko tata au maamuzi tata yanayoashiria kuwa rais hakupewa ushauri sahihi kabla, kisha waziri wake anakuja kuibuka baadae na kuirekebisha kauli ya rais kwa kuifuta na kuweka mambo sawa.

Mfano mzuri ni siku ile rais alipotoa tangazo hili
Rais Kusitisha Uzazi wa Mpango Kwa"Fyatueni Watoto wa Kutosha",Ni ...
kisha waziri wake akaja kuibatilisha kauli hii kwa kusema rais alikuwa anatania tuu watani zake. Rais anapozungumza kwenye hotuba inayotangazwa moja kwa moja kwa taifa zima na akatangaza jambo fulani, hii maana yake ni kulitangazia taifa. Sijadhani kama Watanzania walichagua rais Msukuma ili atoe maagizo kwa watani wake Wazaramo kwenye matangazo ya moja moja mubashara ya kulitangazia taifa zima. Kauli yoyote ya rais ni sheria.

Rais kama binadamu na kama Msukuma ana haki ya kutaniana na watani zake Wazaramo vyovyote vile ataona inafaa, lakini utani huo ama autolee kwa Wazaramo wwnyewe na sio mubashara kwa taifa zima, na utani kama huu ukitolewa kwenye matangazo mubashara ya moja kwa moja kwa taifa zima, then rais akiishatoa utani kama huo amalizie kwa kusisitiza ni utani tuu au kwa Wazaramo tuu.

Kuna vitu rais wetu anasema au anafanya vinavyoashiria amekosa ushauri sahihi.

Mfano mzuri ni issue ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, hii issue imekuwa too much mishandled hadi kumchafulia rais na kumjengea chuki ndio maana kwenye mitandao ya kijamii watu wamekasirika sana hadi kumkosea heshima na kutoa lugha za machukizo.

Japo mimi sio mtu wa serikali, bali naamini Wakuu wa Utumishi wa Umma wote popote walipo ni wasaidizi wa rais. Wasaidizi wa rais wanaoaswa kuwa pro active kumsaidia rais wakali wote na sio kusubiri hadi waulizwe rasmi ndipo wasaidie.

Kadhia ya Paul Makonda kutumia vyeti ya kughushi na kufanya udanganyifu ilipoibuka tuu, kabla haijafikia stage ya kumchafulia rais, wasaidizi wa rais wanaohusika walipaswa kujitokeza wao na kumweleza rais ukweli kuwa ni kweli Paul Makonda ndie Daud Albert Bashite na yote yanayosemwa kumhusu mtu huyu ni ukweli kabisa hivyo wangemshauri the right thing to do, hili jambo lingekuwa limekwisha, lakini kumfukuza Waziri Nape kwa hasira na kuendelea kunyamaza as if nothing has happened, hukuwezi kusaidia kitu kuondoa hizo negative perception. Solution ya kudumu ni kuja na ukweli tuu. He has to tell the truth and the truth will set him free. Nikimaanisha baada ya ukweli kujulikana kuwa Daud Albert Bashite ndiye Paul Christian Makonda, then kwa wanaoujua ukweli huu kuwa Daud Albert Bashite ndiye Paul Christian Makonda, kwao he will always be Daud Albert Bashite, and never will he be Paul Christian Makonda, na huyu Paul Makonda he is an imposter!. Na kwa wale wote wanaomfahamu Paul Christian Makonda as Paul Christian Makonda, wataendelea kumfahamu kama Paul Makonda but with much skepticism and reasonable doubt kuwa could he be the real one or ni imposter hadi tuhuma zile zikanushwe rasmi kuwa ni uongo na uzushi!.

Tukija kwenye tukio la uvamizi wa Clouds Radio, Msaidizi wake Nape did the right thing kwa ku come forward na kusema wazi ule ni unajis wa mtu binafsi na sio serikali. Japo kuunda tume wasn't the right approach Nape kama Msaidizi wa rais ambaye ni Waziri, Makonda ni bwana mdogo sana kwake, angemkabili kuupata ukweli yeye and go straight kwa rais kumpa first hand information na kumwachia rais kufikia uamuzi.

Rais angekuwa ameshauriwa vuzuri na wasaidizi wake wanaoujua damage control, wangemshauri rais kuwa dogo ame mess, hivyo ili kulipa millage ya kutosha tukio la rais wa Benki ya Dunia, rais hakupaswa kusema chochote kumhusu huyo dogo. Tukio la uvamizi wa RC kwenye Chumba cha Habari ni tukio kubwa kuliko hata Benki ya Dunia ingehamishia strong room yake pale ikulu kutokana na proximity na impact ya news ya uvamizi.

Juzi asubuhi rais anafanya uteuzi mpya kwa hasira bila kutengua uteuzi wa zamani, kisha akaenda bandarini kwenye ziara ya kushtukiza. Huku nyuma akatokea kichaa mmoja kumtishia bastola waziri wake aliyetumbuliwa. Kihabari yaani ki newsworthyness, tukio la waziri kutishiwa bastola na kichaa fulani ni bigger news kuliko rais kutembelea bandarini.

Kwa vile rais hakufurahishwa jinsi media haikutoa umuhimu stahiki kwa matukio ya msingi yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa, na yeye pale ikulu anayo kurugenzi yake ya habari, lilikuwa ni jambo dogo tuu hata kuteta na Msigwa kwa kumuuliza hivi hii inakuwaje, Msigwa angemweleza tuu ukweli what was news kuliko rais kuonyesha hasira kwa media.

Wasaidizi wa rais wa kila eneo wana wajibu wa kumsaidia rais wetu kwa kumshauri kufanya uamuzi sahihi na kumwachia rais kufanya uamuzi wowote ila sisi kama Watanzania tuna shauku ya kumuona kila wakali rais wetu akifanya na kutenda the right thing at the right time and doing it right. Handling ya Makonda-Bashite-Nape Thing was a wrong thing, done at at a wrong time and done wrongly!.

Washauri wa rais mko wapi na kumuona rais wetu anasema na kutenda as if hana washauri?! .
Sisi jf tutaendelea kushauri kwa lengo la kujenga.

Kuhusu uhuru wa rais wetu kushauriwa, kupokea ushauri na kusema lolote, tulilizungumza hapa https://www.jamiiforums.com/threads...-na-anashauriwa-vizuri-tuu-ila.1107899/page-2

Tanzania ni yetu sote na rais Magufuli ni rais wetu wote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Jumamosi njema.
Paskali
Labda wasukuma mjipange kumsaidia nasikia haamini watu zaidi ya nyie
 
Tatizo Paskali huwa hueleweki una simamia nini, mara Makonda awe Rais, Mara tuthibitishe kama kweli Makonda ndio Bashite, leo tena umerukia huku, yaani hutulii kwenye lane moja uka elewekaga bro, sasa hata siku ukiongea mambo ya maana una kuta watu wanakushangaa tuu maana hawajui huwa una amini kitu gani. Nakumbuka kwenye fasihi tulikuwa tukisoma kazi yoyote lazima tujue msimamo wa mwandishi, well hii siyo fasihi ila mkuu kwa kweli najaribu kutafuta msimamo wako huwa siuoni.

Ya Bashite na kuropoka tusha ongea sanaa Prezidaa ni mbishi na wasaidizi wake hawana la kufanya labda kama wamfunge kamba, ila jamaa ni sikio la kufa.
Mayala ni Kati ya watu fuata bendera upepo hana msimamo thabiti wa kueleweka what he stands for tofauti na mimi mheshima wa kujitegemea Yehodaya.Humu jamii forums huhitaji kujiuliza msimamo wangu utakuwa wapi ila utahangaika kuangalia logic ya huo msimamo una hold water or not na Mimi nikiiandika mtu kubeza unatakiwa uwe na akili za kupindukia au ukae na jopo sababu huwa siandiki for the sake of writing nina akili za uhakika na za kupindukia kila niandikacho na consider Great thinkers in mind siandikii wenye akili below Sea level najua kila niandikacho Great thinkers WA jamii forums wanavipitia. Pascal msimamo wake haueleweki hajajipambanua bado kama akina generali ulimwengu
 
Tatizo Paskali huwa hueleweki una simamia nini, mara Makonda awe Rais, Mara tuthibitishe kama kweli Makonda ndio Bashite, leo tena umerukia huku, yaani hutulii kwenye lane moja uka elewekaga bro, sasa hata siku ukiongea mambo ya maana una kuta watu wanakushangaa tuu maana hawajui huwa una amini kitu gani. Nakumbuka kwenye fasihi tulikuwa tukisoma kazi yoyote lazima tujue msimamo wa mwandishi, well hii siyo fasihi ila mkuu kwa kweli najaribu kutafuta msimamo wako huwa siuoni.

Ya Bashite na kuropoka tusha ongea sanaa Prezidaa ni mbishi na wasaidizi wake hawana la kufanya labda kama wamfunge kamba, ila jamaa ni sikio la kufa.
Uwe unamsoma Pascal Mayalla between the line, yeye hakuwahi kumtetea Makonda, wala kumpendekeza Makonda aje kuwa raisi wa "Inji" hii, ukimsoma vizuri anachoandika siku zote kumhusu kumsupport Makonda basiutaona ukweli ni kiwa yupo tofauti sana nae na hamsupport hata kidogo zaidi ya kutaka atoke hapo
 
Hii nchi inahitaji uongozi wa kiamri..uongozi wa mashauriano ulishafeli..wacha twende na huu maana unaonyesha njia..siku zote maendeleo ya nchi huletwa na uthubutu wa wachache..na wengi huachwa nyuma kama ilivyokuwa kwa nape na wenzie..
Issue sio mashauriano wala amri...
muhimu ni katiba na sheria.
 
Wanabodi,

Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili wengi waone.

Kipindi cha leo kusema ukweli muongozaji Dotto Bulendu na Ansbert Ngurumo wameitendea haki tasnia ya Habari dhidi ya vitisho vilivyotolewa jana na rais Magufuli.

Naomba nisiingie ndani sana kuhumu Ngurumo na Bulendu walisema nini kuhusu rais kutaka kuipangia media nini cha kuandika, mimi najikita kwa watu ambao ni wasaidizi wa rais wanajukumu la kumsaidia.
Haya chini ni yangu.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja, japa Tanzania ya sasa ni Tanzania ya Magufuli kama ilivyo Darisalamu ya Makonda.

Rais Magufuli ni kiongozi wetu, ni rais wetu, kutokana na kuwa yeye ndiye rais, taasisi ya urais ndiyo ni mamlaka kuu kiutawala kuliko mamlaka nyingine zote, ila pia Magufuli ni binadamu, sio malaika, hawezi kufanya kila kitu yeye peke yake ndio maana amewekewa wasaidizi mbalimbali wakiwemo washauri.

Kunawakati rais kama rais anatoa matamko tata au maamuzi tata yanayoashiria kuwa rais hakupewa ushauri sahihi kabla, kisha waziri wake anakuja kuibuka baadae na kuirekebisha kauli ya rais kwa kuifuta na kuweka mambo sawa.

Mfano mzuri ni siku ile rais alipotoa tangazo hili
Rais Kusitisha Uzazi wa Mpango Kwa"Fyatueni Watoto wa Kutosha",Ni ...
kisha waziri wake akaja kuibatilisha kauli hii kwa kusema rais alikuwa anatania tuu watani zake. Rais anapozungumza kwenye hotuba inayotangazwa moja kwa moja kwa taifa zima na akatangaza jambo fulani, hii maana yake ni kulitangazia taifa. Sijadhani kama Watanzania walichagua rais Msukuma ili atoe maagizo kwa watani wake Wazaramo kwenye matangazo ya moja moja mubashara ya kulitangazia taifa zima. Kauli yoyote ya rais ni sheria.

Rais kama binadamu na kama Msukuma ana haki ya kutaniana na watani zake Wazaramo vyovyote vile ataona inafaa, lakini utani huo ama autolee kwa Wazaramo wwnyewe na sio mubashara kwa taifa zima, na utani kama huu ukitolewa kwenye matangazo mubashara ya moja kwa moja kwa taifa zima, then rais akiishatoa utani kama huo amalizie kwa kusisitiza ni utani tuu au kwa Wazaramo tuu.

Kuna vitu rais wetu anasema au anafanya vinavyoashiria amekosa ushauri sahihi.

Mfano mzuri ni issue ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, hii issue imekuwa too much mishandled hadi kumchafulia rais na kumjengea chuki ndio maana kwenye mitandao ya kijamii watu wamekasirika sana hadi kumkosea heshima na kutoa lugha za machukizo.

Japo mimi sio mtu wa serikali, bali naamini Wakuu wa Utumishi wa Umma wote popote walipo ni wasaidizi wa rais. Wasaidizi wa rais wanaoaswa kuwa pro active kumsaidia rais wakali wote na sio kusubiri hadi waulizwe rasmi ndipo wasaidie.

Kadhia ya Paul Makonda kutumia vyeti ya kughushi na kufanya udanganyifu ilipoibuka tuu, kabla haijafikia stage ya kumchafulia rais, wasaidizi wa rais wanaohusika walipaswa kujitokeza wao na kumweleza rais ukweli kuwa ni kweli Paul Makonda ndie Daud Albert Bashite na yote yanayosemwa kumhusu mtu huyu ni ukweli kabisa hivyo wangemshauri the right thing to do, hili jambo lingekuwa limekwisha, lakini kumfukuza Waziri Nape kwa hasira na kuendelea kunyamaza as if nothing has happened, hukuwezi kusaidia kitu kuondoa hizo negative perception. Solution ya kudumu ni kuja na ukweli tuu. He has to tell the truth and the truth will set him free. Nikimaanisha baada ya ukweli kujulikana kuwa Daud Albert Bashite ndiye Paul Christian Makonda, then kwa wanaoujua ukweli huu kuwa Daud Albert Bashite ndiye Paul Christian Makonda, kwao he will always be Daud Albert Bashite, and never will he be Paul Christian Makonda, na huyu Paul Makonda he is an imposter!. Na kwa wale wote wanaomfahamu Paul Christian Makonda as Paul Christian Makonda, wataendelea kumfahamu kama Paul Makonda but with much skepticism and reasonable doubt kuwa could he be the real one or ni imposter hadi tuhuma zile zikanushwe rasmi kuwa ni uongo na uzushi!.

Tukija kwenye tukio la uvamizi wa Clouds Radio, Msaidizi wake Nape did the right thing kwa ku come forward na kusema wazi ule ni unajis wa mtu binafsi na sio serikali. Japo kuunda tume wasn't the right approach Nape kama Msaidizi wa rais ambaye ni Waziri, Makonda ni bwana mdogo sana kwake, angemkabili kuupata ukweli yeye and go straight kwa rais kumpa first hand information na kumwachia rais kufikia uamuzi.

Rais angekuwa ameshauriwa vuzuri na wasaidizi wake wanaoujua damage control, wangemshauri rais kuwa dogo ame mess, hivyo ili kulipa millage ya kutosha tukio la rais wa Benki ya Dunia, rais hakupaswa kusema chochote kumhusu huyo dogo. Tukio la uvamizi wa RC kwenye Chumba cha Habari ni tukio kubwa kuliko hata Benki ya Dunia ingehamishia strong room yake pale ikulu kutokana na proximity na impact ya news ya uvamizi.

Juzi asubuhi rais anafanya uteuzi mpya kwa hasira bila kutengua uteuzi wa zamani, kisha akaenda bandarini kwenye ziara ya kushtukiza. Huku nyuma akatokea kichaa mmoja kumtishia bastola waziri wake aliyetumbuliwa. Kihabari yaani ki newsworthyness, tukio la waziri kutishiwa bastola na kichaa fulani ni bigger news kuliko rais kutembelea bandarini.

Kwa vile rais hakufurahishwa jinsi media haikutoa umuhimu stahiki kwa matukio ya msingi yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa, na yeye pale ikulu anayo kurugenzi yake ya habari, lilikuwa ni jambo dogo tuu hata kuteta na Msigwa kwa kumuuliza hivi hii inakuwaje, Msigwa angemweleza tuu ukweli what was news kuliko rais kuonyesha hasira kwa media.

Wasaidizi wa rais wa kila eneo wana wajibu wa kumsaidia rais wetu kwa kumshauri kufanya uamuzi sahihi na kumwachia rais kufanya uamuzi wowote ila sisi kama Watanzania tuna shauku ya kumuona kila wakali rais wetu akifanya na kutenda the right thing at the right time and doing it right. Handling ya Makonda-Bashite-Nape Thing was a wrong thing, done at at a wrong time and done wrongly!.

Washauri wa rais mko wapi na kumuona rais wetu anasema na kutenda as if hana washauri?! .
Sisi jf tutaendelea kushauri kwa lengo la kujenga.

Kuhusu uhuru wa rais wetu kushauriwa, kupokea ushauri na kusema lolote, tulilizungumza hapa https://www.jamiiforums.com/threads...-na-anashauriwa-vizuri-tuu-ila.1107899/page-2

Tanzania ni yetu sote na rais Magufuli ni rais wetu wote.
Mungu Ibariki Tanzania.
Jumamosi njema.
Paskali
Umeongea vyema kabisa .
 
Back
Top Bottom