Hii si habari, asingekamatwa mtu ndiyo ingekuwa habari kwani wao ambao wangewajibishwa kama ilivyotokea visiwani.Jeshi la Polisi Mwanza linawashikilia wasaidizi wawili wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ambao ni Msaidizi wake binafsi, Abdukarim Muro na dereva wake Said Haidan, kwa madai ya kutiliwa mashaka kuwa ni wahalifu
Cc kirangaccm dini yangu, magufuli rabi wetu. kwa kuwa uko hivi una haki ya kumshambulia mnyika dini sio mchezo hasa rabii wako lazima pambane. Akili kama hizi tuziogope sana huyu aweza fanya something unthinkable.
Mpe pole mama yako kwa kuzaa taahira kama wewe. Sisi wana kibamba tutampa tena kura za kishindoMpeni habari hii ,mnyika asahau ubunge mwaka ule alikoswakoswa jimbo likagawanywa sasa hana chake
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mamako amezaa taahira mpe pole sana ,angempata babangu akapata mbegu imara angezaa vipanga kama mmMpe pole mama yako kwa kuzaa taahira kama wewe. Sisi wana kibamba tutampa tena kura za kishindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshamba mpe ukubwa upone
yaani ndo maana mnafanya mambo ya ajabu watu wanashangaa sana awamu hii?
Mkuu naona kila sehemu upo? Kesho utasema unaishi kawe kesho kutwa mbagala nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa la Mnyika ni kwenda Kwao Mwanza kipindi ambacho " mtukufu mungu " yuko kanda ya ziwaWatu wanawezatumbuliwa walikuwa likizo ya xmass nini hadi mchadema apewe uchifu bila kibali toka juu,Ina maana itellegincia haikuliona hilo.
Wewe jamaa una matatizo ya akili. Pumbavu kabisaJichanganye tunaanzia temboni,kwa msuguri bwaloni ,msigani,mbezi ,hadi kibamba atajuta 2020
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app