Wasaidizi wa Mnyika wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuhisiwa kufanya uharifu

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,300
2,000
ccm dini yangu, magufuli rabi wetu. kwa kuwa uko hivi una haki ya kumshambulia mnyika dini sio mchezo hasa rabii wako lazima pambane. Akili kama hizi tuziogope sana huyu aweza fanya something unthinkable.
 

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
6,917
2,000
Jeshi la Polisi Mwanza linawashikilia wasaidizi wawili wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ambao ni Msaidizi wake binafsi, Abdukarim Muro na dereva wake Said Haidan, kwa madai ya kutiliwa mashaka kuwa ni wahalifu
Hii si habari, asingekamatwa mtu ndiyo ingekuwa habari kwani wao ambao wangewajibishwa kama ilivyotokea visiwani.
 

mulaga

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
3,163
2,000
Watu wanawezatumbuliwa walikuwa likizo ya xmass nini hadi mchadema apewe uchifu bila kibali toka juu,Ina maana itellegincia haikuliona hilo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom