Wasaidizi wa Lissu mshaurini mgombea wetu afanye mazoezi, ananenepa sana

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
42,432
49,096
Habari wakuu.

Natoa wito kwa washauri wa mh.Lissu ajitahidi kufanya Mazoezi maana tangu karejea nyumbani kanenepa kweli kweli na anazidi kuchana. Kiukweli nyumbani ni kutamu hata kuwe porini.

Mwisho namtakia kila la heri kwenye kampeni yake.

NI YEYE 2020.
 
Aache kumlaumu Nyerere anatuudhi hata tunaomwona anafaa.
Nyerere alijitahidi kuuweka kando moyo wa ubinafsi na akatulelea Tz yetu hadi yeye ameikuta salama lakini kwenye hotuba zake ni kama mchango wa Nyerere hajauona.

Halafu ni kama anaanza kulewa sifa vile hata kabla hajashinda uchaguzi, hizo ni dalili mbaya za kuja kuwa rais asiyeambilika na mbishi.

Pia kuna kadharau fulani ameanza kukajenga.

Yangu ni hayo.
Namtakia kila la heri.
 
Lazima anenepe Mungu kamuepusha na kifo. Ni zamu ya muuaji kukonda kwa mawazo na aibu.

Sura mbaya, roho mbaya likaishia kuzaa na shemeji yake mdogo wake na mke wake toka nitoke!
Wabongo mnapenda sana story za Vijiweni,kuna kijiwe kimoja nilipita nikasikia eti Mbowe ni mtoto wa nje wa Nyerere! Mara Jakaya na Membe wote watoto wa Baba mmoja!!
 
Hiyo ni moja ya dalili za mental disorders, wengi wenye matatizo ya akili huwa wanakula sana, tena mafuta husaidia kudili na depression, ...
 
Aache kumlaumu Nyerere anatuudhi hata tunaomwona anafaa.
Nyerere alijitahidi kuuweka kando moyo wa ubinafsi na akatulelea Tz yetu hadi yeye ameikuta salama lakini kwenye hotuba zake ni kama mchango wa Nyerere hajauona.

Halafu ni kama anaanza kulewa sifa vile hata kabla hajashinda uchaguzi, hizo ni dalili mbaya za kuja kuwa rais asiyeambilika na mbishi.

Pia kuna kadharau fulani ameanza kukajenga.

Yangu ni hayo.
Namtakia kila la heri.
Hili la kumlaumu Mwalimu silijui maana hujabainisha kamlaumuje,japo kiukweli kumlaumu marehemu haitasaidia.
Hizo zingine ni tabia binafsi na mapungufu ya kiuanadamu Sina hakika Kama anaweza kuwa Kama huyu wa sasa waliofanya kazi nae watatuambia,huyu wa sasa ni too much
 
Back
Top Bottom