Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,264
Kuna hoja haziingia akilini eti Mkuu hashauriki. hapana, mnanidhamu ya uoga tu. Magufuli anashaurika tatizo lenu hamtaki kuumiza kichwa kumsaidia Magufuli. Hivi Rais gani utamletea mpango mkakati mzuri au plan nzuri ataikataa. mie nalia na washauri wa Rais, hamsaidii Rais.
Nyinyi wasaidizi wa Rais mmejaa uoga, kazi kutumia vyombo vya habari ili Mheshimwa awaone mnafanya kazi. Yaani mmekuwa hamna ubunifu, Story zilezile. Mkisikia Rais kasema napeleka serikali Dodoma basi mnakupuluka huko na mimi napeleka nahamia wiki ijayo.. why?
Sijaona Waziri akija na Mpango Mkakati wa kumsaidia Rais. wengi wenu mmeshia kupiga picha tu na kuonekana kwenye vyombo vya habari ili mzee awaone mnafanya kazi.
Hamfanyi majukumu yenu vizuri wengi wenu mnasubili mzee aseme au aagize..hamna ubunifu. Mmekaa kiuoga uoga. HUYU Mzee analengo la dhati kabsa.tatizo nyinyi washauri wake. wengi wenu mnashauri vitu ambavyo havina tija.
Mkuu fumua baraza la Waziri.
mfano mmoja tu kwa leo:
Nchi hii ina ukame, hakuna mvua za kutosha. na haya mambo yanatokana mabadiliko ya hali ya hewa. Sijasikia mpango wowote ambao mzee Chiza (mshauri wa Magu - kilimo na Uvuvi ) ameuweka kwa irrigation systems nzuri, sijaona msisitizo unatolewa na Waziri wa Kilimo wa kuhamasisha wakulime watumie mbegu bora za MUDA MFUPI au kulima kilimo kisichotegemea mvua sana.
Mifugo inakufa, Wazir kimya/ hana measures. Nchi hii Ukijani unapotea kutokana na mabadiiko ya hali ya hewa: Waziri lazima uwe na technigue za kuokoa kilimo kwa hatua hii. Adaptation measures zimefanikiwa kiasi gani:
Waziri unakaa unabishana hamna njaa mara sijui nn.
Mkuu wabadilishe watu wako wengi. wapo mawaziri wanajitahidi kidogo.
FILE system mbovu unapeleka watu awamu kwa awamu dodoma. Mkuu umejiingiza kwenye kitu kikubwa sana ambacho siyo oprass yako kwa wananchi. dodoma itakukucost sana gharama kuendesha serikali kwa vitu vingi. hawajakushauri vizuri.
Mzee unauthubutu sana, laiti ungepata washauri wazuri baada ya miaka kumi Kenya wangetusikia kwenye bomba tu.