Wasaidieni hawa kwa wale wenye uwezo.

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
4,330
10,538
Nimeileta kama nilivyoletewa
"Huu ni mmojawapo wa mkataba uliotolewa na kampuni kubwa ya saruji tanga, kiuhalisiamaelezo ya ndani ya kiwango hiki cha mshahara kwa mtu mwenye elimu ya advanced diploma au degree ndio anachostahili kupata?
inasikitisha sana hata kama ni shida zawatanzania ila siyo kwa utani kama huu. jamani TUICO, RAIS, WAZIRI husika mko wapi? hawa wahindi waswafanye watanzania hawana akili, wengine wamekuja hawana hata vibali ila leo ndani ya kiwanda hiki wamekuwa mabosi wa idara kubwa kisa wao ni wahindi.
jmani wasaidieni watanzania hawa".
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-19-07-53-38.png
    Screenshot_2016-07-19-07-53-38.png
    117 KB · Views: 58
  • Screenshot_2016-07-19-07-53-48.png
    Screenshot_2016-07-19-07-53-48.png
    137.7 KB · Views: 37
  • Screenshot_2016-07-19-07-54-15.png
    Screenshot_2016-07-19-07-54-15.png
    161.9 KB · Views: 34
  • Screenshot_2016-07-19-07-54-23.png
    Screenshot_2016-07-19-07-54-23.png
    121.4 KB · Views: 42
  • Screenshot_2016-07-19-07-54-30.png
    Screenshot_2016-07-19-07-54-30.png
    162.4 KB · Views: 41
  • Screenshot_2016-07-19-07-54-41.png
    Screenshot_2016-07-19-07-54-41.png
    146.4 KB · Views: 42
  • Screenshot_2016-07-19-07-55-11.png
    Screenshot_2016-07-19-07-55-11.png
    100.2 KB · Views: 31
  • Screenshot_2016-07-19-07-55-19.png
    Screenshot_2016-07-19-07-55-19.png
    146.7 KB · Views: 58
  • Screenshot_2016-07-19-07-55-25.png
    Screenshot_2016-07-19-07-55-25.png
    102.4 KB · Views: 56
Back
Top Bottom