Wasafirishaji Abood, Alsaid, BM, Champions na watu wa malori mjiandae kisaikolojia

Mkamia maji hayanywi, kuwa na akiba ya maneno, bei ya nauli tu utajipata unajiswaga mwenyewe kwa hao uliowakamia na kama sio wewe basi hata ndugu zako. Huijui bongo kwa muvie?
 
Mkamia maji hayanywi, kuwa na akiba ya maneno, bei ya nauli tu utajipata unajiswaga mwenyewe kwa hao uliowakamia na kama sio wewe basi hata ndugu zako. Huijui bongo kwa muvie?
Wewe mkuu ndio full akili, maana yaliyotukuta kwenye mwendo kasi wengine hata hawajui. Kwa Daladala Mbezi - Kivukoni 600. Sasa hivi kwa mwendo unaoitwa kasi lazima ikutoke 1050, 400 ya kukufikisha Kimara ili uingilie dirishani kwa 650...mwendo kasi hoyeee!
 
Back
Top Bottom