Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,007
- 9,873
Wasafiri wote wanaotoka Tanzania kuingia Zimbabwe wataanza kupima COVID19 kuanzia Novemba 20.
Thats not a problem. Every country has its own rules. So follow the rules.Tell them we are corona free country!
Zimbabwe ni nchi huru.Tell them we are corona free country!
....na hapa kwenu sindio mnakoelekeaWanajipendekeza katika dunia iliyowatenga
Sio ustaarabu unapomsaidia mtu halafu unamsema "juzi tu ulikua na njaa nikakusaidia"Hawa wamejisahaulisha juzi tu tumewapelekea msaada wa mahindi?Kabudi hebu waambie hao Zimbabwe hatujawahi kushindwa vita-alisikika mtu mzito kwny korido za nyumba nyeupe.
Wakipima halafu iwejee sasaaa??Wasafiri wote wanaotoka Tanzania kuingia Zimbabwe wataanza kupima COVID19 kuanzia Novemba 20.