Wasafiri watokao Tanzania kuingia Zimbabwe watalazimika kupima #COVID19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Wasafiri wote wanaotoka Tanzania kuingia Zimbabwe wataanza kupima COVID19 kuanzia Novemba 20.

1606054253583.png
 
"Naona Zimbabwe wameanza sasa kushirikiana na mabeberu kutuhujumu"

Alisikika kada mmoja wa CCM akisema hayo.
 
Hawa wamejisahaulisha juzi tu tumewapelekea msaada wa mahindi?Kabudi hebu waambie hao Zimbabwe hatujawahi kushindwa vita-alisikika mtu mzito kwny korido za nyumba nyeupe.
 
Hawa wamejisahaulisha juzi tu tumewapelekea msaada wa mahindi?Kabudi hebu waambie hao Zimbabwe hatujawahi kushindwa vita-alisikika mtu mzito kwny korido za nyumba nyeupe.
Sio ustaarabu unapomsaidia mtu halafu unamsema "juzi tu ulikua na njaa nikakusaidia"
Leo kwake kesho ?.......
 
Waraka huu ulioandikwa na mamlaka huko Zimbabwe nchi ambayo ni washirika wetu wakubwa unaonyesha kuwa ni rahisi kujidanganya wenyewe ndani ya nchi yetu kwa vile tunatumia ubabe lakini huko nje wanatuona watu wa hovyo tuu na hatuthamini maisha ya watu.
Mnadhani kwa nini hili suala LA Corona wameamua abiria wote wanaotokea Tanzania lazima wapimwe upya hata kama wana clearance certificate ya kuwa wako salama?
Hatuaminiki tena!
IMG-20201122-WA0007.jpg
 
Mkuu,

Hivi mgombea Urais fulani ambaye hivi karibuni ambaye ameenda Ughaibuni kukagua maendeleo ya afya yake kama alivyokuwa amepangiwa na daktari wake, je alipofika huko alipima hali ya afya yake na matokeo ya vipimo yanaonesha nini hadi sasa ili uoanishe vizuri na barua yako hii ambatanishi.? Kama hakukutwa na maambukizi yoyote na nyomi hilo pamoja na kukumbatiana na wafuasi basi taarifa ya barua ambatanishi ni ya uzushi.
 
Kuna uzi ulianzishwa kuwa Zanu Pf wamkingia kifua Magu kwa Mabeberu uko...
Hili la leo sijaelewa bado
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom