WasafIrI wa mwanza-dar' Princess Muro sio gari lakupanda!!!

Panda super sam hutajuta huduma bora, au yangekuepo mabac ya sumry km zman yalkuwa da best
 
Guys juzi nmetoka mwanza nmepanda bus inaitwa princes munaa ni d best among all though jamaa hawakimbii kivle coz inaonekana boss anawapa mafuta kidogo maana nliona walkua sensitive sana kwenye mafuta na ilifikia kipindi had wakawa wanaweka free kwenye mteremko,despite all my respect to zuberi wako vizuri pia wanajali magari yao na abiria wao pia hawana longolongo
 
Osama mchawi? Ndugu zake wanaokufa wa pale Temboni au ana nyumba nyingine?
 
Numekoma kupanda hili basi...Nilitoka nalo Dar tarehe 23 Dec 2013 Saa 6:00am, Nilifika Arusha 10:45pm usiku....
Basi liliharibika njiani mara 12(Dozen)

Nimekoma kupanda haya Mabasi....
 
Ndugu yangu unajionesha jinsi ulivyo mjinga maana kila mara danhanywa lakini bado unarudia tena bus za meanza dar zenye huduma nzuri ziko nyingi na zinatafuta abiria tena bei ya 40000 tu nikusaidie siku nyinggine nenda zuberi .ma
 
ni kweli nauli ya fast jet ni hiyo ukiongeza na kodi ni kama 40s but unatakiwa kukata tkt miez miwili kabla

Embu tembelea website yao uone hiyo nauli mnayo sema inapatikana mwezi wangapi?
 
Kuna super sami zote ila kiboko yao ni ile ilyokuwa ikiitwa usia wa bibi,au locus podolski hta hzo zongton bus zinasubir!! 94 gia nane turbo! Mchna anasubri 2 hpo, kma we utak kuboreka na safr mpngo mzma ndo huo au happy nation SAUT ya manca
 
Duuu nina ticket yao ya kuondoka j1 tr 12 wamenkatia luxury mmentisha sana. Sijui ndo ishakula kwangu?????
 
Back
Top Bottom