Wasafiri tuliowahi kupekenyuliwa/ kupigwa ndole Uwanja wa Ndege wa Mwl J.K. Nyerere Dar tuje hapa

Mwaka 2014 wakati naondoka Bongo kwenda Ulaya.....jamaa waliniambia nivue saa yangu pamoja na laptop yangu niweke waiscan pale kwenye ule mkanda. Nikafanya hivyo, at the same time wengine kwa makusudi wakawa wananisemesha na kunipoteza malengo ili waniibie kumbe mwenzao nilishatonywa na jamaa yangu anayefanya kazi pale. Ile kugeuka kuangalia vitu vyangu nikaona jamaa wa Swissport kabeba simu yangu anaondoka nayo. Nikamrukia na kumtandika bonge la kichwa na kumpiga loba anipe simu, kujitetea akasema aliichukua ili akaicheki chumbani kwao. Kuja polisi na kuwaelezea kilichojiri wakaanza kulaumiana wenyewe kwa wenyewe nami nikajisepia zangu huku jamaa akikanda pua yake kutokana na majeruhi. Dawa ya wafanyakazi wa swissport ni kuwaua tu au kuwakomesha kwa kichapo cha kufa mtu ndipo wataacha wizi.
WE jamaa hapo umeongeza chunvi ila pole yako
 
Kuna cku tumetoka zetu nje huko na mizigo yetu sasa kuja kuichukua pale kwenye mkanda tukakuta begi zimechanwa Wameiba daa.
Kilichotusaidia mtoto wa kikwete miraji alikuwepo kwenye hiyo ndege bana nae walijichanganya wakampiga cm ya bei mbaya alikuwa amenunulia zawad baba yake Daa kilichofuata sote tulipata vitu vyote. Kuanzia cku hiyo kila nikisafir lazima juu ya begi langu naandika jina kubwa la kiongoz yoyote mkubwa nakuwa safe.
hahaha
umemaliza vizuri
 
Kwenye baadhi ya viwanja vya ndege huwa kuna huduma ya kufunga mizigo na kamba flani kama tape hivi... Kipindi natoka china nilizungushia bag zima na lilikuwa bonge la bag... Nahisi waliona kuanza kukata zile tape watapoteza muda.

Even a black folk hate to see another nigga made it..
Inaitwa Wraping....Hata Dsm nafikiri ipo,sijajua tu bei gani
 
Kwa sasa swissport hakuna hicho kitu wakuu Muangalie huko huko mnakotoka.kipindi cha nyuma ilikuwa kweli.kumbuka tu ni baadhi ya watu wenye tamaa ndio huchafua sifa ya company japo sio wote .ila uongozi wa sasa upo makini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mrisho kabana?, boresheni mishahara ya wale madogo, wale wazee wajeda wastafu nao wana njaa, matokeo yake wanatengeneza timu ya upigaji.
 
Mwaka 2014 wakati naondoka Bongo kwenda Ulaya.....jamaa waliniambia nivue saa yangu pamoja na laptop yangu niweke waiscan pale kwenye ule mkanda. Nikafanya hivyo, at the same time wengine kwa makusudi wakawa wananisemesha na kunipoteza malengo ili waniibie kumbe mwenzao nilishatonywa na jamaa yangu anayefanya kazi pale. Ile kugeuka kuangalia vitu vyangu nikaona jamaa wa Swissport kabeba simu yangu anaondoka nayo. Nikamrukia na kumtandika bonge la kichwa na kumpiga loba anipe simu, kujitetea akasema aliichukua ili akaicheki chumbani kwao. Kuja polisi na kuwaelezea kilichojiri wakaanza kulaumiana wenyewe kwa wenyewe nami nikajisepia zangu huku jamaa akikanda pua yake kutokana na majeruhi. Dawa ya wafanyakazi wa swissport ni kuwaua tu au kuwakomesha kwa kichapo cha kufa mtu ndipo wataacha wizi.
ulitisha, uligeuka jack chan hapo hapo
 
Kuna cku tumetoka zetu nje huko na mizigo yetu sasa kuja kuichukua pale kwenye mkanda tukakuta begi zimechanwa Wameiba daa.
Kilichotusaidia mtoto wa kikwete miraji alikuwepo kwenye hiyo ndege bana nae walijichanganya wakampiga cm ya bei mbaya alikuwa amenunulia zawad baba yake Daa kilichofuata sote tulipata vitu vyote. Kuanzia cku hiyo kila nikisafir lazima juu ya begi langu naandika jina kubwa la kiongoz yoyote mkubwa nakuwa safe.
Ha ha ja...
 
Mkuu unapoandika jina tofauti na la kwenye pasport yako hii imekaaje?
 
Kuna cku tumetoka zetu nje huko na mizigo yetu sasa kuja kuichukua pale kwenye mkanda tukakuta begi zimechanwa Wameiba daa.
Kilichotusaidia mtoto wa kikwete miraji alikuwepo kwenye hiyo ndege bana nae walijichanganya wakampiga cm ya bei mbaya alikuwa amenunulia zawad baba yake Daa kilichofuata sote tulipata vitu vyote. Kuanzia cku hiyo kila nikisafir lazima juu ya begi langu naandika jina kubwa la kiongoz yoyote mkubwa nakuwa safe.
Mkuu hii mbinu nimeipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MMENIKUMBUSHA WAKUU KUNA MSHENZI ALINIKWAPULIA MACBOOK YANGU ILA NIKAMSTUKIA NIKAWA NAMFUATA NYUMA NYUMA TARATBU NIKAMWAMBIA BRO, UNAENDA NAYO WAPI SASA? MIJICHO ILIMTOKA..
 
Back
Top Bottom