Unamchimba Don?"I have't money"
Bwana Mwalimu, ulikuwa unawafundisha watoto wetu kwa kutumia lugha gani huko kwenye sekondari?
Sawa mkubwa wa kaziSisi tunaojua umuhimu wa Don Nalimison hatupendi kuona mtu mzito kama yeye kukosolewa hadharani bila staha. Kama una jambo lolote la kumshauri tushirikishe kwanza sisi ili tuone namna ya kuliwasikisha kwake.
asee sikuyajua yote haya aliyopitia mkuu..Kwa taarifa zaidi alishawahi kuandika issues Facebook akaitibua serikali wakampiga mvua kadhaa jela na alipotoka wakampoka na kazi yake ndio akaingia kwenye sanaa. Anajitahidi sana so far. Mlioko kwenye vitengo mumpe support hata kumfanyia graphics za maana
Sasa Kwa nn mnamwachia simu wakuu Hadi anapost?Yani wageni wa JF walivyo busy kumshauri Kisandu , wangejuaga Deo ni mtambo na dishi lilishang'ooka zamani sana wangesave energy zao tu
Sisi ni wadau na mashabiki wakubwa wa Don na kama ukipendezwa jiunge na timu Don.
Bongo unafik auishiGo don go bro ,mimi binafsi ni mshabiki wako number moja nauona mbali sana mziki wako mzee baba
..Ila uchawa siuwezi broSisi ni wadau na mashabiki wakubwa wa Don na kama ukipendezwa jiunge na timu Don.
Anza kwa kuangalia na ku like song zake YouTube
Mfuatilie vizuri topics zake za zamani utamuelewa ni mtu wa harakati sana atatoboa tu..Ila uchawa siuwezi bro
Wacha niwe mdau km ww