WASAFI TV, ITV, EATV, TVE, AZAM, DIZZIM TV,CLOUDS TV, CHANNEL TEN, okoeni jahazi.

#I haven't money#

Nakumbuka ile "tafiti" ya dawa ya corona yaani ilikuwa covered kwenye nusu ukurasa tu wa daftari ya simba halafu ikagawanywa kwenye vipicha vitatu kwisha utafiti!
 
Mkuu Unataka usaidiwe bure ndy umeshindwa hata kumlipa graphic designer akutengenezee posters za kueleweka? Hata elfu 5 mkuu

*Bad arrangements
* The fonts u chose is not gud for this kind of graphics
*Picture selection was not gud
*poor Colour grading

Mkuu nikushauri kitu; hata km Una kipaji vipi,km hauko siriazi na kipaji chako watu wanakubullshit Tu.. umeamua kuomba msaada unatakiwa uwe siriaz,maana km umeandika Uzi huku unaamini wahusika uliowaomba wakusaidie watapita na wataona

Kila la heri mkuu,I hope watakusaidia

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
humjui don weww
 
Humjui Don wewe ha ha ha
 
Kaa kimya wewe, huna sifa ya kukosoa poster za Don Nalimison.
 
Sisi Aljazeera tutamsadia bila kujali hizo graphics.
 
Don kumbe ana ushawish sn humu

Nimetoka povu Hadi masikioni Kwa kudhani namnyoosha badala yake me ndy nanyooshwa

Kweli ukifika mahali waulize wenyejj..wa kuja tuna matatizo sana humu..nimekoma

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Don kumbe ana ushawish sn humu

Nimetoka povu Hadi masikioni Kwa kudhani namnyoosha badala yake me ndy nanyooshwa

Kweli ukifika mahali waulize wenyejj..wa kuja tuna matatizo sana humu..nimekoma

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa yako Don tuko nae humu miaka nenda rudi ni mtu muhimu sana. Tunakushangaa wewe unavyomshangaa mtu mzito kama Don. Tumetoka nae mbali sana na mpk alipofikia tumempa sapoti kubwa ya kazi zake za sanaa. Nyie mnaojua graphics mudslide na sio kumbeza

Kwa taarifa yako Don alishawahi kumtokea binti wa Obama mpk serikali ikaingilia kati
 
Ahahahah nimekoma mkuu funzadume..

Nimekula sn za uso kutoka Kwa wapambe Kwa kumdislike jamaa,alafu mwenyewe Hana habari kachill kimya baada ya kunijibu Kwa ufupi sn kwamba Nina jellousy

Jamaa ana nguvu sn humu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ahahahah nimekoma mkuu funzadume..

Nimekula sn za uso kutoka Kwa wapambe Kwa kumdislike jamaa,alafu mwenyewe Hana habari kachill kimya baada ya kunijibu Kwa ufupi sn kwamba Nina jellousy

Jamaa ana nguvu sn humu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa zaidi alishawahi kuandika issues Facebook akaitibua serikali wakampiga mvua kadhaa jela na alipotoka wakampoka na kazi yake ndio akaingia kwenye sanaa. Anajitahidi sana so far. Mlioko kwenye vitengo mumpe support hata kumfanyia graphics za maana
 
Ahahahah nimekoma mkuu funzadume..

Nimekula sn za uso kutoka Kwa wapambe Kwa kumdislike jamaa,alafu mwenyewe Hana habari kachill kimya baada ya kunijibu Kwa ufupi sn kwamba Nina jellousy

Jamaa ana nguvu sn humu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Sisi tunaojua umuhimu wa Don Nalimison hatupendi kuona mtu mzito kama yeye kukosolewa hadharani bila staha. Kama una jambo lolote la kumshauri tushirikishe kwanza sisi ili tuone namna ya kuliwasikisha kwake.
 
Anataka kumvuruga Don wakati Serikali inamtambua
 
Back
Top Bottom