Wasafi Tv inatakiwa wajitafakari upya

lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
2,564
2,000
Ukiwa mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa wasafi tv ni mojawapo ya vituo ambavyo vinaongoza kufungiwa au kupewa maonyo na TCRA.

Hawa jamaa huwa hawazingatii kabisa misingi ya urushaji matangazo na ndiyo maana maonyo yamekuwa mengi sana.

Nina imani kama kusingekuwa na watu wazito kwenye hii TV basi ingeshafungiwaga muda tu.

Hawa watangazaji wana weledi kweli wakufanya hii kazi??

download (3).jpg
 

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,888
2,000
Ukiwa mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa wasafi tv ni mojawapo ya vituo ambavyo vinaongoza kufungiwa au kupewa maonyo na TCR.

Hawa jamaa huwa hawazingatii kabisa misingi ya urushaji matangazo na ndiyo maana maonyo yamekuwa mengi sana.

Nina imani kama kusingekuwa na watu wazito kwenye hii TV basi ingeshafungiwaga muda tu.

Hawa watangazaji wana weledi kweli wakufanya hii kazi?? View attachment 2080992
Watafungiwa sababu ipi ? Mpaka hapo sioni sababu ya TCRA kuwafungia.

Halafu katika radio zote ukiondoa TBC watangazaji wote ungaunga mwana njoo ukae, talent kwanza shule badae.
 

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,888
2,000
“Anakutomba huyo”-Zuchu

Zuchu Said that on aired program
Duuu Tafsidaless..... kweli haki yao kuchezea nyundo. Hizi radio kama hawawezi kuajiri watangazaji wenye uweledi, waajiri basi hata wahariri wa hivyo vipindi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom