Swali zuri?Nani kakudanganya?
Swali zuri?Nani kakudanganya?
Tatizo anajua wasafi mmiliki wake ni Diamond peke yake, kumbe sio mkuu.'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'
Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?
Kusaga ni kichwa sana arifu.
Na wasafi fm mmiliki ni naniVijana wa kileo tunapenda sanaa ushabiki bila facts.
Ila hili la nani ana miliki WASAFI TV TCRA walishalitolea ufafanuzi zamaniii (tokea 2018)
Ukifupi mmiliki wa WASAFI TV ni Kusaga..!!
Kwanini nasema hivyo?
Hebu tuingie darasani...
Ukisoma Corporate Governance vizuri inakufundisha kwamba "The majority shareholder is the owner of the company"
Hili ndilo lililoifanya Simba SC. Kumnyima 50% of the shares MO na kumpa 49.
Kwasababu siku zotee anaemiliki 50% na zaidi ndio mmiliki mkubwa na mwenye sauti (high voting power).
WASAFI TV share holders...
Who is majority shareholder?
1. Zaghalulu Ajmy (Mke wa Kusaga) = 53%
2. Nasibu Abdul Juma (Diamond) = 45%
3. Ali Khatib Dai = 2%
Then the majority share holder is 1 = mke wa kusaga = Kusaga.
Mensa Brella. Mwenye hisa nyingi hapo ni mke wa kusaga. Diamond anazo hisa 14 tu Tena hizo 14 ni za kupewa sio kuwwkeza hela. Na nyingine ni za mtu ambae hajatajwaNani kakudanganya?
Hahaaa nilikuwa sijataka kucomment but hii comment imenifanya nishindwe kujizuiaSawa zuchu
HahaaMensa Brella. Mwenye hisa nyingi hapo ni mke wa kusaga. Diamond anazo hisa 14 tu Tena hizo 14 ni za kupewa sio kuwwkeza hela. Na nyingine ni za mtu ambae hajatajwa
Hisa 14%😳? Kwingine siendelei kusoma, Wewe ni mbumbumbu.Mensa Brella. Mwenye hisa nyingi hapo ni mke wa kusaga. Diamond anazo hisa 14 tu Tena hizo 14 ni za kupewa sio kuwwkeza hela. Na nyingine ni za mtu ambae hajatajwa
Wewe ndio kabisa umeonesha mweupe kichwaniMensa Brella. Mwenye hisa nyingi hapo ni mke wa kusaga. Diamond anazo hisa 14 tu Tena hizo 14 ni za kupewa sio kuwwkeza hela. Na nyingine ni za mtu ambae hajatajwa
Kusaga pale Wasafi TV anamiliki hisa asilimia ngapi? Na clouds tv asilimia ngapi?'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'
Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?
Kusaga ni kichwa sana arifu.
Unazijua media kumi wewe, hiyo moja tu watu wengine mishahara ni mbinde ndio iwe media 10.Je ukisema Wasafi unamaanisha na Label ya Wasafi ni mali ya madam Kusaga?, wabongo punguzeni wivu , kijana amepambana sana from zero to hero , naomba tumuheshimu his future is brighter mwaka jana katoka hapa Kigali kununuwa Nyumba za biashara, jama anaakili kubwa
Nauliza je jina la Wasafi nani kalianzisha
Diamond kwa level ambazo anafikia kwa sasa anaweza kuanzisha media kama kumi ao zaidi mfano wa Wasafi Media
Kote Kusaga family ni majority S/holder.Kusaga pale Wasafi TV anamiliki hisa asilimia ngapi? Na clouds tv asilimia ngapi?
'Iko hivi Clouds media ni family business ambayo ipo chini ya Kussaga Family yaaani iliazishwa kupitia Fedha za Marehemu Mzee Kussaga'.Iko hivi Clouds media ni family business ambayo ipo chini ya Kussaga Family yaaani iliazishwa kupitia Fedha za Marehemu Mzee Kussaga alafu mtoto wake huyu Kussaga Jr ndio akawa mkurungezi kutokana na yeye kuwa na experience kuwa na mshiko wa kutosha akaazisha Clouds media dubai, Rwanda na kampuni zingine lakini baadae akaona kama apati pesa za kutosha kutoka Clouds media bcz ya family ownership ndio akaazisha Wasafi Media from copy and paste ya Clouds media lakini akaingia makubaliano ya mkataba na Diamond ili watumie Wasafi brand kwa minajili ya kuipa Airtime kubwa huku Diamond akipata sehemu ya kuongelea mziki wake na matamasha yake ndio maana unaona Wasafi Media wanapita mule mule kwenye njia za Clouds media mfano Kuja kwa Koffi; Koffi anamawasiliano ya Karibu sana na Joseph Kussaga pia Tigo Wanaelewana sana na Kussaga ndio maana wameweza kukaa na Clouds media for more than 4 yrs to support Fiesta. Ukiangalia hata Vifaa wanavyotumia kwenye matamasha yao ni kutoka Prime time promotion iliyo chini ya clouds. Clouds Media ilikuwa Ruge na Joseph. Ruge ni mtendaji lakini nyuma ya picha alikuwa chini ya Kussaga ndivyo ilivyo kwa Wasafi Media Diamond anaonekana ndio mmiliki lakini nyuma ya picha yupo chini ya Joseph Kussaga kupitia Mke wake.... Vijana tutafute pesa na tuwe na focus na vision.....
Yes kote ni majority S/holder .. kama Clouds ana 93% na Wasafi ana 53% na Tigo wameamua kwenda Wasafi means hapa kipato kwake kimepunguaKote Kusaga family ni majority S/holder.
Means 51%+.
Hapa Rwanda kuanzisha Tv kwa njia ya Digital nikitu rahisi sana, namaanisha tv nyingi zinaweza kutumia digital frequency moja na zina fika masafa marefu duniani kote lakina analog system itaomba antenna (minara) ndefu kila mahala tena haitafika sehemu zote , zamani hio analog ilikuwa big deal kuanzisha kituwi cha tv lakini dunia ya sasa ya digital technologies, within 100K USD unaanzisha Tv station ya HD broadcastUnazijua media kumi wewe, hiyo moja tu watu wengine mishahara ni mbinde ndio iwe media 10.
Clouds hana 93% yuko hapo kati 51%-59% maana hapo kuna wakina Sheba na wana familia kibao.Yes kote ni majority S/holder .. kama Clouds ana 93% na Wasafi ana 53% na Tigo wameamua kwenda Wasafi means hapa kipato kwake kimepungua
Hao WCB ninawajua nje ndani, ninaishi nao mtaa mmoja.Hapa Rwanda kuanzisha Tv kwa njia ya Digital nikitu rahisi sana, namaanisha tv nyingi zinaweza kutumia digital frequency moja na zina fika masafa marefu duniani kote lakina analog system itaomba antenna (minara) ndefu kila mahala tena haitafika sehemu zote , zamani hio analog ilikuwa big deal kuanzisha kituwi cha tv lakini dunia ya sasa ya digital technologies, within 100K USD unaanzisha Tv station ya HD broadcast
Kuna mapumbavu mengi sana yanakaa kujazana ujinga tu halafu hayajui chochote'Iko hivi Clouds media ni family business ambayo ipo chini ya Kussaga Family yaaani iliazishwa kupitia Fedha za Marehemu Mzee Kussaga'.
Kuna jinga 1 kule juu linasema Clouds Media mtaji wake ulitoka kwa mke wa kusaga,kuna wadwanzi wengi sana humu hawajui na hawajui kama hawajui.