Wasafi Sports, muwe mnatafasri pindi mnapoweka voice za makocha wa nje wakiongea

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,136
21,268
Habari wakuu,

Napenda hizi taarifa ziwafikie watangazaji wa Wasafi Sports Arena na Headquater

Kama hawawezi kutafsiri kiingereza cha hao makocha wa nje wanaoongea wakati wa kipindi basi wasiweke kabisa hizo sauti zao ni kero tupu.

Juzi wameweka sauti ya kloop baada ya kufugwa liverpool ,hakuna tafsri sijui kama na wao wanaelewa ,wanaishia tu kusema yaaah ni sauti hio ya klop.

Wakaweka ya OLG wa Man Utd vilevile.

Wakaweke ya Lampard ni full kimombo tu, sasa watu wahuko Chuga ndani ndani wanaelewa kitu hapo.

Jaribuni kutafsiri bana hizo sauti ndio mrushe hewani.

The national language of Tanzania is Kiswahili
 
Habari wakuu,

Napenda hizi taarifa ziwafikie watangazaji wa Wasafi Sports Arena na Headquater

Kama hawawezi kutafsiri kiingereza cha hao makocha wa nje wanaoongea wakati wa kipindi basi wasiweke kabisa hizo sauti zao ni kero tupu.

Juzi wameweka sauti ya kloop baada ya kufugwa liverpool ,hakuna tafsri sijui kama na wao wanaelewa ,wanaishia tu kusema yaaah ni sauti hio ya klop.

Wakaweka ya OLG wa Man Utd vilevile.

Wakaweke ya Lampard ,ni full kimombo tu, sasa watu wahuko Chuga ndani ndani wanaelewa kitu hapo.

Jaribuni kutafsiri bana hizo sauti ndio mrushe hewani.

The national language of Tanzania is Kiswahili

Uzi tayari
Hao kazi wanayoweza kwa ufanisi ni kuikejeli Simba tu wakiongozwa na yule mchambuzi uchwara Maulid Kijola.
 
Back
Top Bottom