Kitondo
Member
- Jul 10, 2019
- 62
- 145
Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani. Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.
Mfano: Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake, unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid.
Yaani bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka E Fm aliyekuwa anaendana na Maulid Kitenge.
Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Maulidi Kitenge.
Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.