Wasafi FM, Kitenge haendani na Zembwela

Kitondo

Member
Jul 10, 2019
62
145
Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani. Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.

Mfano: Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake, unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid.

Yaani bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka E Fm aliyekuwa anaendana na Maulid Kitenge.

Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Maulidi Kitenge.

Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.
 
Nafikiri zembwela na kitenge ni watu wa aina moja, kitenge anahitaji mtu wa kumchombeza na kumfunga mota, hawa wawili sync vizuri.Gerald hando alikua anamfunga mota kitenge, musa anamchombeza, chemistry haipo sawa kwa sasa
Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani.Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.Mfano Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake,unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid.Yan bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka e.fm alokuwa anaendana na maulid.Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Kitenge.Kwa ujumla hawaendani.Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.
 
Pale kilammoja anajaribu kujijenga ndo maana kama kuna ka wivu fulani wanaekeana ili kuonekana kila mmoja ni zaidi ya mwenzie
Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani.Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.Mfano Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake,unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid.Yan bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka e.fm alokuwa anaendana na maulid.Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Kitenge.Kwa ujumla hawaendani.Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.
 
Upo sahihi kabisa. Hii combination haijakaa sawa bado. Maulidi anahitaji mchochezi, ni Kama vile Gadner alivyokuwa anamchochea Kibonde.... Au Gerald Hando na Mussa Kipanya walivyokuwa wanamchochea Maulidi. Zembwela anashindwa kabisa labda na yeye anahitaji kuchochewa... Mondi angevuta tu wote watatu Maulidi, Gerald Hando na Mussa Kipanya
 
Ndiyo lengo la hizo redio yani kutofanya utangazaji uwe serious walianzisha clouds na wengine wakaiga.
Nadhan itakua ni kwasababu ya maujinga ya watangazaji wengi.Kama wako kijiweni yan full kucheka cheka na mautan unproffessional kabisa.Wengi pia wako limited sana when it comes to knowledge angalau kidogo watangazaji wa vipindi vya michezo.
 
Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani.Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.

Mfano Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake, unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid. Yaani bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka e.fm alokuwa anaendana na maulid. Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Kitenge. Kwa ujumla hawaendani. Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.
nenda wewe kaombe kazi
 
Back
Top Bottom