Wasafi FM, Kitenge haendani na Zembwela

Mimi nimebaki nasikiliza kunyamvua na kunyambulisha!

Wasafi wameiga sana EFM


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Pia Zembwela anapitiliza kuongea, awe anaongea kidogo atoe fursa kwa wenzake bana...mantiki ndogo lakini atazunguka kama anahubiri bana ...

Sent using Jamii Forums mobile app

Zembwela anaongea sana hadi kipindi kinageuka kama nyumba ibada au mawaidha ana jifanya ana busara sana na kila jambo analifahamu!

Nafikiri kwenye hicho kipindi wanatakiwa kujipanga sana ili wawahamishe watu kutoka Kunyamvua na kunyambulisha!

Shida Kitenge alidhani kuwa yeye pekee ndio ana ubeba uchambuzi wa magazeti kumbe lile collabo lao na Gerald,Musa lilikuwa zuri....

Sasa hivi wenzao wamesha copy na wale wengine na kipindi kina kwenda vyema.


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom