Wasafi FM hususa mtangazaji Mwanaidi mnapaswa kuomba radhi wasikilizaji wenu, kudanganya C. Eriksen amefarikifa

Kiherehere ili waonekane wao ni wa kwanza kutoa taarifa .

Sijui wanawatoaga wapi hawa watangazaj wasiojua miiko ya utangazaji ,yaan wasaf Naona wamejaa wahuni wahuni tu kuanzia diva ,baba levo ,juma lokole,kitenge na wengine .

Huyo mtangazaj anapaswa kuachishwa kazi ni mpuuz no moja kufurahia mtu kufa haiwezekan utoe taarifa ambayo huna uhakika nayo
R
 
M
Hii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke?

Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni unazitangaza? Mnaanza kututia wasi wasi kusikiliza vipindi vyenu.
Msamehe bure tu alisema chanzo ni youtube
 
Hii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke?

Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni unazitangaza? Mnaanza kututia wasi wasi kusikiliza vipindi vyenu.
Watangazaji wengi hawajsomea wanachukuliwa kwasababu ni maarufu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom