Wasafi Festival wamewatendea haki Wananchi

Mzee wa bwax jana ndiye alishangiliwa kwa upendo bila kuwalazimisha watu,,wengine wote wamepuyanga tu
 
we jamaa boya kweli yani kwa akili yako unashindwa kabisa kujua kama.ni editing hiyo? simple tu angalia hiyo font vizur,then nitakupa fact nyingine
We jamaa ni fala kweli umeshindwa kujua kama ni utani tu nimefanya acha kujitia ujuaji umeambiwa sijajua kama ni editing au?
 
Balaaa zito
Screenshot_20191110-141516.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20191110-142130.jpeg
    Screenshot_20191110-142130.jpeg
    56.2 KB · Views: 1
BASHITE:Nataka mwakani ndani ya mwezi mmoja ifanyike Wasafi festival then Mziki mnene alaf Tunamalizia na Tigo Fiesta,Tuone nani ni Baba lao tumpe tuzo ya kuburudisha.
 
Nature kupiga show bila hizi ngoma sijapenda kabisa
1. Kigheto ghetto
2. Jinsi kijana

Inspector Harun nae ameacha kutukumbusha hizi ngoma zetu pendwa
1. Mtoto wa geti kali
2. Life ya uswazi
 
Na hapo kwa inspecta nilitegemea apige Wimbo wake w ASALI WA MOYO
Nature kupiga show bila hizi ngoma sijapenda kabisa
1. Kigheto ghetto
2. Jinsi kijana

Inspector Harun nae ameacha kutukumbusha hizi ngoma zetu pendwa
1. Mtoto wa geti kali
2. Life ya uswazi
 
Back
Top Bottom