Wasafi Festival hamna kitu kabisa

King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,019
Likes
11,957
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,019 11,957 280
WCB ni makelele mtandaoni tu Field ni weupe kama karatasi.
 
Proffesor

Proffesor

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2014
Messages
1,163
Likes
753
Points
280
Proffesor

Proffesor

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2014
1,163 753 280
Diamond Show kapiga kuanzia saa 03:30 hadi 05:21
Kapiga ngoma 31 ( 36,2,3,18,43,44,4,6,7,8,11,13,14,16,25,27,28,33,34,37,38,45,46,51,47,30,31,35,49,50,39)kutoka kwenye playlist yake aliyotupostia instagram
Katumia mfumo wa kupiga playback na band pamoja na wacheza show..
1.band ilipwaya maana drumer alikuwa juu ya mziki wote drums zinaakika kuliko mziki wote(kisayansi na hisabati za muziki)
2.wasanii wa Hip Hop bado wamekuwa wageni wa stage( effect ya kubaniwa big stages) hawakujua watu wanataka nini.
3. Kumchukua Dudu baya kutawaangusha Wasafi kwani dudu baya hamna alichofanya. Maneno mengi sana hana kazi wala bazi.
4.moni centrazone na Country boy wameonyesha uzoefu wao wa big stages (fiesta effect)
5. Hawakuwa na stage planner mzuri(kuna gapes kibao stage...kabla ya show na show na stage ipo chini hadi washabiki wanapanda stage.
6. Wasanii wa wasafi hawana uzoefu wa show especially show kubwa...(fiesta effect)
7. Band ya wasafi haina back vocalists wala formation ya band professional.
8.Harmonise anaipa nguvu Theory yangu kuwa akipatikana mastermind kama Ruge akamtengenezea harmonize channel, Diamond hamuwezi Harmonize...Harmonize alitulia stage akacheza na mashabiki...akawaambukiza ile energy yake bila kuwambia piga keleleeee
9. Navy Kenzo bado wageni wa stage kubwa...hapo ndio ubaona tofauti ya wasanii wa club na wasanii wa big stage kama Country Boy na Moni.
10. Mboso peke yake ndiye alitakiwa kuimba na Band hasa ukizingatia uzoefu wake wa stage kubwa na kuomba kwenye team aliotoka nao Yamoto band na ufundi wake wa kupiga chombo.
11. Mboso, ray vanny na lava lava walitakiwa kufanya back vocals wakati wa show ya diamond hiyo ndio definition ya team sio kuwajaza kina tale na fela na salam kwenye stage...na watu wengine wasio wasanii...Stage ni Offisi ya msanii sio offisi ya manager wala mpiga picha wala baunsa, wala kumpandisha steve nyerere na kina aunt ezekiel ni format ya zamani ya show iliyotumiwa na Fiesta... show haikuwa na ubunifu wa stage picture, light wala projection ya picha inayoeleweka... stage ilikosa Theme na Mc (jonijoo) alitakiwa kuhost na yule mwanamke mwengine ila asimpe nafasi hata ya kuwa co host... fela anaingia kila mara na kuwashika wasanii begani huku akiwapa maelekezo fulani maanake anaonyesha stejini yeye ni Boss.
(C)Fili.
By mdau aliefatilia
N kweli mtupu
 
Proffesor

Proffesor

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2014
Messages
1,163
Likes
753
Points
280
Proffesor

Proffesor

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2014
1,163 753 280
Itafika ilw stage ya east coast and west coast ambayo ilipelekea mauaji ya wanamuziki wawili acheni upumbavu na u team mavi ...kiongozi wa kisiasa anawatumia ili msipatane but hamjui impact mnayotengeneza...hata kama clouds walikua hawawi fair kwa wasanii lakin ilitakiwa mamlaka husika kukaa nao na kuongea nao hao viongozi mana mnge deal na viongozi basi hata wafanyakazi wangekua kwenye mstari ..kufuta event kubwa sio suluhisho na zaidi upande wa pili wanafurahia..that little boy naive diamond hajijui kwamba anatumiwa tu na sababu Hana akili anaona kila kitu sawa tu ndo mana wameshangilia wenzao walivyofutiwa event yao...
Ticket ziliuzwa chache sanaa
 
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
892
Likes
1,057
Points
180
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
892 1,057 180
Casper Nyovest angekua na tabia kama za Baba latifa asingejaza Stadium
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
20,025
Likes
26,108
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
20,025 26,108 280
Mtatoana roho kisa pesa tu "... usikute acc ya mtoa post ni ya Sebastian maganga
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
20,025
Likes
26,108
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
20,025 26,108 280
Mkuu unataka kuniambia wame plan hii kitu clouds? Does it make sense kweli..hadi dakika ya mwisho plus gharama zilizotumika na zilizokua zinaendelea kutumika kweli?? Yan mtu ukubali kuingia hasara ya let's say 100+ million sababu ya upande wa pili wana event tena nje ya mkoa wa dar ??
Wala hawaja plan " kilichopo ni kwamba " kusaga ameamua kuibomoa clouds ambayo " ni biashara ya familiar yao " baada ya kuona kuwa maelewano yao yeye na ndugu zake ni haba ameamua kutoka kimpango wake na kuanzisha hizo platform kwa kutumia brand id ya diamond ili aweze kuliteka soko .. nakuwa na kampuni yenye ushawishi mkubwa namba 1 tz kuliko kituo chochote kile cha burudani
 
Forensic Anthropologist

Forensic Anthropologist

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Messages
2,217
Likes
836
Points
280
Forensic Anthropologist

Forensic Anthropologist

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2015
2,217 836 280
Pole kwa pigo la fiesta
 
Mpinzire

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Messages
596
Likes
499
Points
80
Mpinzire

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2013
596 499 80
Apmbe Mungu makonda aendelee kuwa mkuu wa mkoa
Ila likitokea la kutokea Ruge akapona na Makonda akaondoka.
magufuli akapotea. Basi hii festival itazikwa mchana kweupe
Siwapendi clouds ila sijapenda jinsi wasafi wanavyojiweka upande mmoja na majungu bila kuangalia future au kupata somo toka kwa clouds
Yani hapa ndipo munabugi! unajua kipindi cha JK Mondi alihusishwa sana kutumiwa na JK kuwa anasafirisha dona kwenda nje! watu walisubirii anguko lake mara baada ya JK kutoka madarakani na kipindi hiki ujue Makonda alikuwa DC na wala hakuwa mlezi, leo hii tunaonea Makonda ni RC na JK yuko Mtaani anakula Bata tuko kwenye awamu ambayo haitaki longolongo basi kama Mondi kuanguka angeanguka awamu hiii! kijana anajituma katoka mbali jamani kapambana huyu! we angalia Kamwambie 2009 mpaka leo 2018 African beauty unafikiri safari ndogo na hajawahi kushuka! kapigwa kila aina ya jiwe lakini kasimama eti leo umseme jiwe kwa Mondi! kwani jiwe kamfanyia nini Mond hasa?
 
Mpinzire

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Messages
596
Likes
499
Points
80
Mpinzire

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2013
596 499 80
Ticket ziliuzwa chache sanaa
Kwa hilo la ticket umefail mkuu! ao jamaa siku wanaingia tu Mtwara tu barabara zilifungwa kuanzia Mkanaredi kupanda magomen mpaka wanaingia mjini, Sehemu yeyote Tanzania hii timu ya WCB yote inaingia hakuna watakopata mashabiki wachache, maana wao ndiyo wanaofanya vizuri kwasasa.
 
shagy cobra1

shagy cobra1

Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
64
Likes
52
Points
25
shagy cobra1

shagy cobra1

Member
Joined Nov 25, 2018
64 52 25
Diamond Show kapiga kuanzia saa 03:30 hadi 05:21
Kapiga ngoma 31 ( 36,2,3,18,43,44,4,6,7,8,11,13,14,16,25,27,28,33,34,37,38,45,46,51,47,30,31,35,49,50,39)kutoka kwenye playlist yake aliyotupostia instagram
Katumia mfumo wa kupiga playback na band pamoja na wacheza show..
1.band ilipwaya maana drumer alikuwa juu ya mziki wote drums zinaakika kuliko mziki wote(kisayansi na hisabati za muziki)
2.wasanii wa Hip Hop bado wamekuwa wageni wa stage( effect ya kubaniwa big stages) hawakujua watu wanataka nini.
3. Kumchukua Dudu baya kutawaangusha Wasafi kwani dudu baya hamna alichofanya. Maneno mengi sana hana kazi wala bazi.
4.moni centrazone na Country boy wameonyesha uzoefu wao wa big stages (fiesta effect)
5. Hawakuwa na stage planner mzuri(kuna gapes kibao stage...kabla ya show na show na stage ipo chini hadi washabiki wanapanda stage.
6. Wasanii wa wasafi hawana uzoefu wa show especially show kubwa...(fiesta effect)
7. Band ya wasafi haina back vocalists wala formation ya band professional.
8.Harmonise anaipa nguvu Theory yangu kuwa akipatikana mastermind kama Ruge akamtengenezea harmonize channel, Diamond hamuwezi Harmonize...Harmonize alitulia stage akacheza na mashabiki...akawaambukiza ile energy yake bila kuwambia piga keleleeee
9. Navy Kenzo bado wageni wa stage kubwa...hapo ndio ubaona tofauti ya wasanii wa club na wasanii wa big stage kama Country Boy na Moni.
10. Mboso peke yake ndiye alitakiwa kuimba na Band hasa ukizingatia uzoefu wake wa stage kubwa na kuomba kwenye team aliotoka nao Yamoto band na ufundi wake wa kupiga chombo.
11. Mboso, ray vanny na lava lava walitakiwa kufanya back vocals wakati wa show ya diamond hiyo ndio definition ya team sio kuwajaza kina tale na fela na salam kwenye stage...na watu wengine wasio wasanii...Stage ni Offisi ya msanii sio offisi ya manager wala mpiga picha wala baunsa, wala kumpandisha steve nyerere na kina aunt ezekiel ni format ya zamani ya show iliyotumiwa na Fiesta... show haikuwa na ubunifu wa stage picture, light wala projection ya picha inayoeleweka... stage ilikosa Theme na Mc (jonijoo) alitakiwa kuhost na yule mwanamke mwengine ila asimpe nafasi hata ya kuwa co host... fela anaingia kila mara na kuwashika wasanii begani huku akiwapa maelekezo fulani maanake anaonyesha stejini yeye ni Boss.
(C)Fili.
By mdau aliefatilia
Ila mi nadhan ni kwa sababu ya wasanii wenyewe ambao waliwachukua sio wazoefu saana ,Pili mambo ya lights & sound hii hutokana na mazoea ya malocation yenyewe wanayoenda wanachukulia kuwa huku hawaelewi hizo
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,320
Likes
1,993
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,320 1,993 280
No creativity, nimejaribu kucheck check baadhi ya video kwenye youtube... I found out.. Wasani wa WCB Hamna kitu on stage, maybe studio....

So disgusting

Bongo fleva yote si mziki ni maigizo tu.….unafaa kusikiliza redioni tu ila live ni upuuzi mtupu. Hata huyo Diamond yuko very useless kwenye show zake, mi naona analazimisha tu. Muziki wa bongo fleva haufai kuonwa live, ni wa kijinga mno, Karaoke at its best.
 
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
3,990
Likes
2,265
Points
280
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
3,990 2,265 280
No creativity, nimejaribu kucheck check baadhi ya video kwenye youtube... I found out.. Wasani wa WCB Hamna kitu on stage, maybe studio....

So disgusting

Hivi mkuu una umri gani? Yaani kwa akili yako unafikiri Bongo fleva ni muziki kweli? Wewe sikiliza tu redioni ila Live utaliwa bure hela zako, ule si muziki kama unavyofikiria wewe. Muziki una wenyewe asikudanganye mtu.
 
chatts55

chatts55

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
591
Likes
21
Points
35
chatts55

chatts55

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
591 21 35
Hivi mkuu una umri gani? Yaani kwa akili yako unafikiri Bongo fleva ni muziki kweli? Wewe sikiliza tu redioni ila Live utaliwa bure hela zako, ule si muziki kama unavyofikiria wewe. Muziki una wenyewe asikudanganye mtu.
Hivi Bado Kuna watu wana fikra hasi Kama Wewe!! Hio kauli yako ya unawenyewe inadhihirisha uwezo wako kifikra
 
Forum statistics

Threads 1,235,629
Members 474,678
Posts 29,229,077