Wasafi Festival hamna kitu kabisa

ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
89,193
Likes
776,072
Points
280
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
89,193 776,072 280
Hahahha na wewe imekuaje ume comment kwenye umbea? Tumia akili kidogo sio mihemko mdau katoa facts zake so unatakiwa umjibu kwa facts sio kujibu kishambenga..we Tanzanians we have a very big problem in our heads
Duh
Naona ni mwisho wa sanaa Tanzania walahi
 
Mbulu

Mbulu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Messages
5,138
Likes
4,736
Points
280
Mbulu

Mbulu

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2015
5,138 4,736 280
Wengine walipelekwa kupiga shoo bure,mshahara nyagi na ganja
 
C

CUTHBERT ROBERT

Member
Joined
Jun 29, 2016
Messages
5
Likes
3
Points
5
C

CUTHBERT ROBERT

Member
Joined Jun 29, 2016
5 3 5
Ni hatua nzuri, always tunasema mwanzo mgumu na safari waliyoianza ni ndefu, hivi vitu ni professional na siyo vya kukulupuka
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,396
Likes
3,926
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,396 3,926 280
Hata clouds walianzia huko.........hakuna mwanzo mrahisi.......taaratibu show itakua kubwa.

Aongeze juhudi na ubunifu na show itafikia pale unapopataka mleta uzi.

Mwanzo mgumu. Ko naomba utulize pumbu uomeshwe definition ya neno #Mapinduzi
 
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
572
Likes
468
Points
80
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
572 468 80
Mkuu unataka kuniambia wame plan hii kitu clouds? Does it make sense kweli..hadi dakika ya mwisho plus gharama zilizotumika na zilizokua zinaendelea kutumika kweli?? Yan mtu ukubali kuingia hasara ya let's say 100+ million sababu ya upande wa pili wana event tena nje ya mkoa wa dar ??
Mbele ya kuchafua na kudhalilisha brand hata Mimi ningeweza Fanya hivyo
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,375
Likes
31,592
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,375 31,592 280
Hata clouds walianzia huko.........hakuna mwanzo mrahisi.......taaratibu show itakua kubwa.

Aongeze juhudi na ubunifu na show itafikia pale unapopataka mleta uzi.

Mwanzo mgumu. Ko naomba utulize pumbu uomeshwe definition ya neno #Mapinduzi
Apmbe Mungu makonda aendelee kuwa mkuu wa mkoa
Ila likitokea la kutokea Ruge akapona na Makonda akaondoka.
magufuli akapotea. Basi hii festival itazikwa mchana kweupe
Siwapendi clouds ila sijapenda jinsi wasafi wanavyojiweka upande mmoja na majungu bila kuangalia future au kupata somo toka kwa clouds
 
adden

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
4,637
Likes
6,062
Points
280
adden

adden

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
4,637 6,062 280
Ukipenda chongo utaita kengeza.
Magu na dai hata mseme mbovu vipi hawa jamaa huwa sioni kama wana kasoro za kiubinadam.
 
pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
644
Likes
531
Points
180
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
644 531 180
Hakuna kilichokua planned hapo ndugu ..hio ni political issue na wametumiwa bila wao kujijua kwamba wanatumiwa na hayo ndo matokeo na master mind anajulikana aliyecheza hio movie ..
Mbele ya kuchafua na kudhalilisha brand hata Mimi ningeweza Fanya hivyo
 
pilato93

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
3,266
Likes
1,935
Points
280
pilato93

pilato93

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
3,266 1,935 280
Katika wote diamond ndiyo mwenye uwezo wa kupiga show kubwa ila unapotaka kuzungumza au kutoa mapungufu jaribu kutoa hayo mapungufu pasipo uhusisha upande mwengine lakini ni bonge la show limepugwa mtwara dah ila nimesikitika fiesta kutokufanyika sababu hatukupata freedom of choice ya kuangalia wapi uchague wapi usichague
 
T

tsarbomb

Member
Joined
Oct 27, 2018
Messages
83
Likes
117
Points
40
T

tsarbomb

Member
Joined Oct 27, 2018
83 117 40
"You can fool people for sometime but not all people all the time"..... Maneno hayo yana maana sana, project zetu huwa zinafeli kwa kukosa uweledi, kama ilivyo 'bongo muvi' baada ya kukithiri kufanya vitu vya kipumbavu wakiamini wao wanajua kuliko wateja wao hatima yake Leo wako chali, ndugu Diamond naye akikosa uweledi atatumbukia shimoni, hivi vitu tungependa viishi muda mrefu, na ili hilo litokee 'professionalism' ni muhimu sana, kwa sababu kwa jina Lake lilivyo kubwa bila shaka sehemu mbalimbali duniani walifuatilia sasa wakiona mapungufu yaliyo wazi tena ya kizembe basi thamani yake inaathirika..... Kwetu sisi mashabiki/wateja ni haki yetu kuongelea mapungufu, mapungufu yanajenga kwa mtu mwenye busara, inaonekana ni kasumba yetu kutopenda 'negative feedback'
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,396
Likes
3,926
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,396 3,926 280
Ila majungua ya clouds ndo huyaoni
Apmbe Mungu makonda aendelee kuwa mkuu wa mkoa
Ila likitokea la kutokea Ruge akapona na Makonda akaondoka.
magufuli akapotea. Basi hii festival itazikwa mchana kweupe
Siwapendi clouds ila sijapenda jinsi wasafi wanavyojiweka upande mmoja na majungu bila kuangalia future au kupata somo toka kwa clouds
 
taekwondo

taekwondo

Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
42
Likes
29
Points
25
Age
47
taekwondo

taekwondo

Member
Joined Oct 6, 2016
42 29 25
"You can fool people for sometime but not all people all the time"..... Maneno hayo yana maana sana, project zetu huwa zinafeli kwa kukosa uweledi, kama ilivyo 'bongo muvi' baada ya kukithiri kufanya vitu vya kipumbavu wakiamini wao wanajua kuliko wateja wao hatima yake Leo wako chali, ndugu Diamond naye akikosa uweledi atatumbukia shimoni, hivi vitu tungependa viishi muda mrefu, na ili hilo litokee 'professionalism' ni muhimu sana, kwa sababu kwa jina Lake lilivyo kubwa bila shaka sehemu mbalimbali duniani walifuatilia sasa wakiona mapungufu yaliyo wazi tena ya kizembe basi thamani yake inaathirika..... Kwetu sisi mashabiki/wateja ni haki yetu kuongelea mapungufu, mapungufu yanajenga kwa mtu mwenye busara, inaonekana ni kasumba yetu kutopenda 'negative feedback'
"you can fool some of the people all the time,all the people some of the time,but you can't fool all the people,all the time"-abraham lincolin
 
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
572
Likes
468
Points
80
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
572 468 80
Hakuna kilichokua planned hapo ndugu ..hio ni political issue na wametumiwa bila wao kujijua kwamba wanatumiwa na hayo ndo matokeo na master mind anajulikana aliyecheza hio movie ..
Si aliahidi kuwepo fiesta?
 
A

Ab5

Senior Member
Joined
Dec 3, 2017
Messages
133
Likes
82
Points
45
A

Ab5

Senior Member
Joined Dec 3, 2017
133 82 45
Kwang mm Dudubaya kafany very poor performance saut yak hskiki n kam vile cd inapigwa watu wanavibe nayo interms of performance very poor huwez msimamish as international artist
Hii inaonyesh tofaut Kati ya uwezo na Kiki
 
T

toure

Member
Joined
Jan 24, 2015
Messages
40
Likes
42
Points
25
T

toure

Member
Joined Jan 24, 2015
40 42 25
Haya Kimbelembele angalieni wasafi ya nani sasa. DIAMOND anatumika tu mke wakusaga.
Tuendelee na maisha yetu tunajiingiza katika bifu zakiini macho.
img-20181125-wa0018-jpeg.945649
 
Forum statistics

Threads 1,235,650
Members 474,678
Posts 29,229,600