Wasafi Festival hamna kitu kabisa


hyassin92

hyassin92

Senior Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
165
Likes
168
Points
60
Age
23
hyassin92

hyassin92

Senior Member
Joined Oct 4, 2017
165 168 60
No creativity, nimejaribu kucheck check baadhi ya video kwenye youtube... I found out.. Wasani wa WCB Hamna kitu on stage, maybe studio....

So disgusting
 
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,867
Likes
2,807
Points
280
Age
96
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,867 2,807 280
Wape moyo mkuu walau wamethubutu!
Kila mwanzo huwa ni mgumu hata hyo fiesta ilianzia Leaders club na jina la Summer jam kama sikosei na haikuwa kivile sana ila baadae ndo ikakua!
WCB wameanza vuzuri sana na watafika mbali sana
 
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
572
Likes
468
Points
80
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
572 468 80
Utajua mwenyewe
 
T

toure

Member
Joined
Jan 24, 2015
Messages
40
Likes
42
Points
25
T

toure

Member
Joined Jan 24, 2015
40 42 25
Diamond Show kapiga kuanzia saa 03:30 hadi 05:21
Kapiga ngoma 31 ( 36,2,3,18,43,44,4,6,7,8,11,13,14,16,25,27,28,33,34,37,38,45,46,51,47,30,31,35,49,50,39)kutoka kwenye playlist yake aliyotupostia instagram
Katumia mfumo wa kupiga playback na band pamoja na wacheza show..
1.band ilipwaya maana drumer alikuwa juu ya mziki wote drums zinaakika kuliko mziki wote(kisayansi na hisabati za muziki)
2.wasanii wa Hip Hop bado wamekuwa wageni wa stage( effect ya kubaniwa big stages) hawakujua watu wanataka nini.
3. Kumchukua Dudu baya kutawaangusha Wasafi kwani dudu baya hamna alichofanya. Maneno mengi sana hana kazi wala bazi.
4.moni centrazone na Country boy wameonyesha uzoefu wao wa big stages (fiesta effect)
5. Hawakuwa na stage planner mzuri(kuna gapes kibao stage...kabla ya show na show na stage ipo chini hadi washabiki wanapanda stage.
6. Wasanii wa wasafi hawana uzoefu wa show especially show kubwa...(fiesta effect)
7. Band ya wasafi haina back vocalists wala formation ya band professional.
8.Harmonise anaipa nguvu Theory yangu kuwa akipatikana mastermind kama Ruge akamtengenezea harmonize channel, Diamond hamuwezi Harmonize...Harmonize alitulia stage akacheza na mashabiki...akawaambukiza ile energy yake bila kuwambia piga keleleeee
9. Navy Kenzo bado wageni wa stage kubwa...hapo ndio ubaona tofauti ya wasanii wa club na wasanii wa big stage kama Country Boy na Moni.
10. Mboso peke yake ndiye alitakiwa kuimba na Band hasa ukizingatia uzoefu wake wa stage kubwa na kuomba kwenye team aliotoka nao Yamoto band na ufundi wake wa kupiga chombo.
11. Mboso, ray vanny na lava lava walitakiwa kufanya back vocals wakati wa show ya diamond hiyo ndio definition ya team sio kuwajaza kina tale na fela na salam kwenye stage...na watu wengine wasio wasanii...Stage ni Offisi ya msanii sio offisi ya manager wala mpiga picha wala baunsa, wala kumpandisha steve nyerere na kina aunt ezekiel ni format ya zamani ya show iliyotumiwa na Fiesta... show haikuwa na ubunifu wa stage picture, light wala projection ya picha inayoeleweka... stage ilikosa Theme na Mc (jonijoo) alitakiwa kuhost na yule mwanamke mwengine ila asimpe nafasi hata ya kuwa co host... fela anaingia kila mara na kuwashika wasanii begani huku akiwapa maelekezo fulani maanake anaonyesha stejini yeye ni Boss.
(C)Fili.
By mdau aliefatilia
 
Certified Hater

Certified Hater

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
777
Likes
1,101
Points
180
Certified Hater

Certified Hater

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
777 1,101 180
Basi afanyie marekebisho otherwise atafeli
sasa ungeanza hata kwa kumpongeza kwanza hata kwa hivyo halafu ndo uongee na mengine vinginevyo unakua hater tu wakati kwenye familia sikujui.. Certified hater
 
hazard cfc

hazard cfc

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Messages
7,004
Likes
13,528
Points
280
hazard cfc

hazard cfc

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2015
7,004 13,528 280
Ndio wanaanza kila kitu hakiwezi kuwa sawa...wamejitahidi sana kuna mda nilifikiri labda wapo msimu wa nne hivi au watano kumbe ndio msimu wa kwanza
 

Forum statistics

Threads 1,235,629
Members 474,678
Posts 29,229,077