Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

Any responsible father will do that!
MBNA baby mtoto mwenyewe alitulia tulii yeye tu ndio ilimuuma sana why? Jamaa hana akili the last time naonana na Harmo nilimuona mtu mstarabu sana lakini sasa ni trash tu.

Mimi sipo team yeyote lakini kwa alichokifanya ni usnitch miaka ile watu wananmna hii wanapigwa tu mpaka akili zinakaa vyema
 
MBNA baby mtoto mwenyew alitulia tulii yeye tu ndo ilimuuma sana why? Jamaa hana akili the last time naonana na harmo nilimuona mtu mstarabu sana lakini sasa ni trash tu .. Mm sipo team yyte lakini kwa alichokifanya ni usnitch miaka ile watu wananmna hii wanapigwa tu mpaka akili zinakaa vyema
Ndio maana nikasema 'responsible' father pili,huwezi kujua sababu za baba mzazi kunyamaza kimya,ukweli ni kwamba Harmonize did what he was supposed to do..sasa wewe chagua familia over friends...mimi simlaumu hata kidogo family comes first
 
It is sick to watch...

Hata kama ndio uhuni sio wa Harmonize kumtaka Paula ilihali anatoka na mama yake...

Tunajua mmeliunda hili zengwe...

Eti Harmonize atume picha ya utupu kwa Paula...

Kweli mko desperate kumchafua...

Poleni,limewauma ndio maana mmekua desperate..

You know what hili nalo litapita na Konde boy ata survive tuu...

:mad::mad::mad::mad:
Mama mtu ndio master mind wa mchezo wote.. Keshakula ndizi sasa anatafuta kulitupa ganda
 
Ndio maana nikasema 'responsible' father pili,huwezi kujua sababu za baba mzazi kunyamaza kimya,ukweli ni kwamba Harmonize did what he was supposed to do..sasa wewe chagua familia over friends...mimi simlaumu hata kidogo family comes first
No never Rebeca! Konde na Kajala were still in initial stage ya kudate.. Hawana base firm grounds za Harmo kuwa na uchungu na wa kivile

Trust me Konde katumika kama toilet paper na sasa wamemdamp.. It's so painful.. ! Lakini wahuni sio watu especially wakikuona unazo, ni mshamba na unatafuta kick
 
Mama na mtoto pipa na mfuniko.Rayvany naye kamlipa,lile gazeti alilo andikiwa na Harmo kipindi kile.

Ila mwisho wa siku Paula ndiye anaye kuwa ktk hali ngumu sijui kama mama yake analijua hili.Mtoto wake kishatumika mara mbili kama mtambo wa kutengemezea kiki,huku wenzake wakifanya biashara zao za kimziki kupitia hizi kiki.

Haya tuliyajua wewe unaenda vacation na mtoto,katupia kichupi upaja unang'aa,tako linaning'inia alafu baba mlezi yupo pembeni lazima udenda umtoke.

Baba mlezi kipindi kile Ray alivyo post ile video aliandika gazeti kubwa ".......nikiwa kama baba mlezi wa Paula.....blah blah blah....na mimi nina mtoto wa kike.......Ray alichomfanyia huyu mwanafunzi.........achukuliwe hatua kali kwani bado mwanafunzi..............blah blah blah........sina chuki na wewe my young brother.....".Sasa yeye wakati alivyo kuwa akiomba tunda hakujua huyu mwanafunzi au alimind Ray kuwa wa kwanza kumvua nguo.

Naona mwenzake Ray nae kapata pa kuhemea.

Zile tattoo alizo jichora bora mwenzake ni K,sasa yeye Kajala ile H ataifuta au itabaki vilevile au ataibadilisha na lile gari Konde kalichukua au kalisamehe? Ila mapenzi ya wasanii yana anzaga kisanii sanii yana isha kishanii.
 
Kajala is ruining her daughter's image.
Mtoto hajafika hata miaka 25 tayari yupo hivi.still ana mengi ya kufanya mbele ama kashindwa kumguide anataka aje kuwa mdada wa mjini asieeleweka anafanya nini mradi kudanga tu upate hela ya kodi na matumizi haya.
Mbona shilole ana mabinti wakubwa tu ila hawapi nafasi ya huu ujinga?
 
Rajabu ntu wa dili alimpatia Paula 20000 kwenye chombo ya kanali mimi kunifunika ndomo akaniambia tutarekodi nyimbo uongo braza rajabu?
 
Back
Top Bottom