WASABATO MASALIA WALIISHIA WAPI? mwenye fununu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WASABATO MASALIA WALIISHIA WAPI? mwenye fununu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpeni sifa Yesu, Jul 19, 2010.

 1. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
 2. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nimependa zaidi hapo Kolosai 2:16, panaposema Kolosai 2:16,basi mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwasababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi au sabato. Mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo,bali mwili ni wa Kristo. Therefore, kosher foods for Jews should not be taken as an instrument to punish gentiles, they are no longer important. You can eat anything because we are no longer bound.

  English translation of the above verse: Don't let any one tell you what you must eat or drink. Don't let them say that you must celebrate the new moon festival, the sabath or any other festival. These things are only a shadow of what was to come. But Christ is real.
   
 3. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  nenda kamwulize kamanda kova
   
 4. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unajuaje pengine Kova yupo hapahapa JF, atanijibu!
   
 5. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Walifungwa miazi sita ama mitatu kama sikosei. Huko Gerezani walikutana na wazungu wale wezi wa samaki za magufuli na hivyo kazi ya kuwahubiria sheria ikaanza. Hivyo wakafarijika kwa kuwa Bwana amewaletea watu weupe humo gerezani ambao ndio waliokuwa wamekusudia kuwafuata kwa ndege.
   
 6. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahaha. wanataka kuhubiria watu weupe...lakini bahati mbaya ticket za miujiza hawakupata...manake walikuwa wanasubiri ticket za miujiza zishushwe kama mana pale airport au mtu yeyote aje awape pesa waende kuhubiri iraq, hawana visa, hawana pesa ya chakula, hawana mahala pa kulala, kila kitu kingeshushwa...
   
 7. m

  mrs kiwonyi New Member

  #7
  Jul 29, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  masalia wapo maeneo ya tabata,
  tayari wameshatoka gerezani kwa msamaha wa rais mwezi wa 12 mwaka jana.
  kwa sasa wanajishughulisha na kazi za ujenzi pamoja na uchimbaji wa mashimo ya vyoo.
  hawataki mawasiliano kwa sababu wanaamini kuwa kusajili simu ni mpango wa 666
   
 8. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  hahahahaha hapo kwenye nyekundu hapo yaani mtu asinihukumu kwa kunywa aina yeyote ya kinywaji beer,soda,juice... safi sana maandiko mimi nadumisha neno lile wengine lishashindwa
   
 9. M

  Malila JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,412
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa wapo pale pale kambini kwao sanene kabla ya kufika segerea,sasa afadhali wanajishughulisha,na mwishowe wote watapotelea mitaani kwa sababu idadi inapungua taratibu.
   
Loading...