Wasaa wakujiliwaza na mheshimiwa

Duh Bongo kweli tambarare, mpaka huyu naye Mbunge? Wacha na mimi nirudi nyumbani kujiandaa kwa 2015, kama siasa za Bongo ndio staili hii ina maana mtu yoyote anaweza kuukwaa ubunge haijalishi kama wewe ni mwanasiasa, BTW hongera sana Sugu ila jitahidi uwakilishe wapiga kura kivitendo kule bungeni na pigania kuleta msukumo wa maendeleo kwenye jimbo lako, ukifanya hivi bila shaka watakuchagua tena next time. All the best.
 
Sidhani kama inaweza pigwa redioni iyo naona kuna jamaa katajwa ana ngoma pale mawingu anasambaza kwa wengine KHAAAAAAAAAA
Ila kwakweli manderground wanapata shida sana kupenyeza kazi zao pale na manyanyaso juu kama mdada ukigawa ata ajila unapata
Mengi ayasemayo yana ukweli
 
duh bongo kweli tambarare, mpaka huyu naye mbunge? wacha na mimi nirudi nyumbani kujiandaa kwa 2015, kama siasa za bongo ndio staili hii ina maana mtu yoyote anaweza kuukwaa ubunge haijalishi kama wewe ni mwanasiasa, btw hongera sana sugu ila jitahidi uwakilishe wapiga kura kivitendo kule bungeni na pigania kuleta msukumo wa maendeleo kwenye jimbo lako, ukifanya hivi bila shaka watakuchagua tena next time. All the best.

mmmmh....karibu sana.....ila muulize kwanza lawrence masha akueleze ilivyo rahisi kushinda ubunge tz.....
 
Back
Top Bottom