Was Zitto Wrong?

Ndiyo maana haya yanaitwa mapambano ya kifikra (ideological battle).

Muhimu ni ku-test the other side of the coin, maana sikuhizi mambo yatabaki kwenye mitandao,,, utakuja sutwa baadaye, mimi tu nakukumbusha mzee mzima,,, usije adhirika!
 
If you have nothing important to say, it is always better to keep quiet.

do you think you have one, other than copy and paste news from Tanzania Daima as if we don't know the link, can you please count the posts you made by copy and paste in this forum!

Tehe tehe tehe
 
do you think you have one, other than copy and paste news from Tanzania Daima as if we don't know the link, can you please count the posts you made by copy and paste in this forum!

Tehe tehe tehe

In the forums we do not compete as to who has posted more and who has posted less,

After all it is in accordance to the JF rules that anybody can post anything provided that the contents of those posts are not against the JF rules.

So no matter the source of the contents of the posts ,if the post itself is worth some valuable information for members to share or debate then we dont care much on the source, whether it is from the encyclopeadia britannica or Mtanzania daima or whatever.

I totally agree with Mwanakijiji that the intellectual warfare is what is taking place rightnow, the objective of the war itself is to win the wananchi's hearts and minds

So if we have to win ,we have to be on the right side,sending the missiles of truth, while at the same time finding a common ground on what we agree on each other.

Trying to attack persons instead of the arguments they bring wont help our course
 
do you think you have one, other than copy and paste news from Tanzania Daima as if we don't know the link, can you please count the posts you made by copy and paste in this forum!

Tehe tehe tehe

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
 
Nini tena humu?Naona Mipasho kama ya Nasma Kidogo na Khadija Kopa
 
Nini tena humu?Naona Mipasho kama ya Nasma Kidogo na Khadija Kopa

Nadhani kuna wanao amua kwa makusudi mazima kupotosha hoja kwa sababu zao binafsi C'mon guys hebu tuendelee kumkoma nyani MCHANA KWEUPE!

Back to the issue, nimeuliza hapo nyuma kwamba sasa mambo yako wazi kwamba Bunge lilikosea kumsimamisha Zitto what next?

Hapa nina maana hakuna mahali kulingana na kanuni za Bunge ambapo anaruhusiwa kukata rufaa? ama hiyo ni mpaka mahakamani ambazo mahakama zenyewe ndo za Mwendo wa muuaji Ditto?
 
Zito,
Tunashukuru sana kwa kusimama kidete. Umeonyesha vijana wanaweza na ni taifa la leo, kwani hakuna kitu kinachoitwa kesho na hakuna kesho katika maisha ya kawaida. Umwamba uliouonyesha ni wa kuigwa, ingawa ukweli una gharama lakini mwisho wake siku zote ni mzuri.
 
Nadhani kuna wanao amua kwa makusudi mazima kupotosha hoja kwa sababu zao binafsi C'mon guys hebu tuendelee kumkoma nyani MCHANA KWEUPE!

Back to the issue, nimeuliza hapo nyuma kwamba sasa mambo yako wazi kwamba Bunge lilikosea kumsimamisha Zitto what next?

Hapa nina maana hakuna mahali kulingana na kanuni za Bunge ambapo anaruhusiwa kukata rufaa? ama hiyo ni mpaka mahakamani ambazo mahakama zenyewe ndo za Mwendo wa muuaji Ditto?

binafsi sina uhakika kuna utaratibu gani wa kukata rufaa au uwezekano wa mbunge mwingine kutoa hoja kwenye kikao kijacho kuwa Karamagi alisema uongo na hivyo achukuliwe hatua
 
Bunge likifunguliwa naomba upinzani upeleke mjadala wa kumuadhibu kara..kwa kudanga bunge juu ya maslahi ya mkataba wa Buzwagi
 
Ndugu Zittto,
tatizo la Siasa za Tanzania ni kwamba tupo nyuma sana ktk zile enzi za mitume!.. yaani imani za about RIGHT or WRONG!...
Katika siasa hakuna kitu right or wrong bali the correct thing!..Unajua mwanasiasa hata ukiamua kwenda vitani ni WRONG iwe kwa mtazamo wa aina yeyote ile!...vitani ni kwenda kuua!..lakini inaweza kuwa a correct move!
Mh. Zitto, what U raise at the Parliament was Correct thing only to be judged as being Politicaly wrong..
 
Tatizo kubwa la bunge letu, wabunge hawako tayari kusikiliza hoja na kuichambua. Wengi wao wamechoka na wanalipa fadhila tu.

Zitto alichokifanya bungeni ni kuhoji wasi wasi juu ya kusainiwa kwa mkataba. Alitaka wabunge waujadili na kuuchunguza ili mbivu na mbichi zijulikane. Na alianisha kwamba in some extent Waziri Karamag kalidanganya bunge.

Na alikuwa anafanya kazi kama Mbunge.
Sasa wangekubali kufungua mjadala na utafiti haya yote yangejulikana halafu mambo yangekuwa shwari.

Tunatakiwa tujiulize, je kuna sababu yeyote ya msingi kumfungia mbunge pale anapoonyesha wasi wasi kuhusiana na utendaji wa serikali? Na kama ni hivyo bunge la nini?

Pamoja na kwamba miaka na article zinaweza kuwa sio sahihi kwa kabwe, lakini hatuoni kwamba hata sheria zetu zinautata mkubwa sana kwani kila aliyetajwa kama chenge, mramba na wengine wamewahi kuchanganya haya mambo ya sheria iliyotumika.
Ndio maana Zitto akasema mkaba unautata mkubwa inabidi tuuchunguze.

Kusema uongo ni kudanganya kwa makusudi, Karamag akiwa anajua ukweli uliopo kwenye mkataba alidanganya bunge kwa makusudi kabisa.

Kukosea ni kunukuu vibaya au kutokujua.

Sasa kama wangekubali kujadili wanasheria wa bunge wangepitia kanuni na sheria zinazohusika ili kujua ni sheria ipi ilikuwa sahihi.

Zitto nakupa tano, umefanya kazi yako wakakataa kufanya kazi yao, Taifa linateketea. Team work ilikuwa ziro kati yako na wana-CCM. walikataa kuonyesha nini wanajua na nini hawajui. Nakusifu kwani ulionyesha wasi wasi wako na wa wananchi.
 
kweli nimechoka na hawa CCM jinsi wanavyoimaliza nchi....nitafanya kitu kimoja tuu nitawasubiri uchaguzi ujao jimboni kwangu na nitampigia kampeni mpinzani na kumchangia pesa nyingi na kuhakikisha ushindi lakini lazima nijue atakachoenda kufanya Bungeni from A-Z
 
Jamani sio siri haya mambo yanauma. Yaani unasoma huku unalengwa na machozi. Kiwanda cha bia kinalipa kuliko migodi yote? Halafu wanasema wataanza kulipa 2011. Inauma sana jamani. Unaweza kukuta rushwa aliyokula kiongozi wakati wa kusaini mkataba haifikii hata kodi ya siku moja yaliyotakiwa kulipa haya makampuni ya madini. Aibu sana kwa viongozi wetu. Too much!
 
Muhimu ni ku-test the other side of the coin, maana sikuhizi mambo yatabaki kwenye mitandao,,, utakuja sutwa baadaye, mimi tu nakukumbusha mzee mzima,,, usije adhirika!

Battle!! Kweli Mi' Ninafikili Hii sio Battle!! hii ni Stampeed!..sasa inakuaje Post zangu...Mna zitoa?, Za-kwenu Ndio Nzuri Zinabaki.

Nyie wote Ndio wale wale tu...
 
Muhimu ni ku-test the other side of the coin, maana sikuhizi mambo yatabaki kwenye mitandao,,, utakuja sutwa baadaye, mimi tu nakukumbusha mzee mzima,,, usije adhirika!

Mtu mwoga hachukui hatua zenye hatari au kujiweka katika hali mbaya. Mwoga hawezi kuamua kwani anaweza kuogopa "kusutwa". Mimi si mwoga, endapo nitaoneshwa kuwa nimekosea nitakiri makosa, sina kiburi cha madaraka au kujidhania kuwa kila ninachosema ni sahihi. Hakuna haya kwenye kukubali makosa, somo ambalo CCM bado hawajajifunza. vyema.
 
"Pimbi wababaishaji na mbilikomo wa mawazo." Ndio viongozi wetu hao.
 
Back
Top Bottom