Was Nguza fitted up?

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Kuna ushahidi kweli wa maovu aliyofanya nguza au wamemsingizia?Kwa wenye data zimwage, nasikia kuna mwanasiasa alikuwa na kisasi naye, je kuna ushahidi wa kutosha?
 
Kuna ushahidi kweli wa maovu aliyofanya nguza au wamemsingizia??
Yeah, ni kweli ushahidi upo. Ushahidi ni hukumu ya mahakama.
Kwa wenye data zimwage, nasikia kuna mwanasiasa alikuwa na kisasi naye, je kuna ushahidi wa kutosha?
Ushahidi wa hayo unayosikia? Nilitegemea wewe ndo ungetuwekea humu kuwa nimesikia kwa FULANI [ukimtaja kwa jina].
 
hakuna lolote,wana mlink na JK wakati babu sea kapigwa mvua hata kabla JK hajawa president.

ni mazoea ya waTanzania kuamini habari za mitaani na vijiwe.
 
basically mi huwa simini kuwa mahakama za hapa duniani hutenda haki mara zote.

lakini, kama kweli huyo mtu alifunua vichupi vya amabinti zetu makinda namna ile, basi mi ningemnyonga, nisingemruhusu kuendelea kuishi, na kaburi lakeningeamuru libandikwe pale nakala ya picha yake akinyongwa pamoja na nakala ya hukumu yake na nakala nyingine aingie nayo kaburini akamwonyeshe shetani wake.

ilinima na bado inaniuma sana....................
 
lakini, kama kweli huyo mtu alifunua vichupi vya amabinti zetu makinda namna ile, basi mi ningemnyonga, nisingemruhusu kuendelea kuishi, na kaburi lakeningeamuru libandikwe pale nakala ya picha yake akinyongwa pamoja na nakala ya hukumu yake na nakala nyingine aingie nayo kaburini.

ilinima na bado inaniuma sana....................

Umenifurahisha saaaaaaaaana! Hukumu yako inafaa! sijui sheria umesomea wapi?

sijui ni kwanini watz ni wajinga na tunaamini na kuvumisha habari za vijiweni hadi zinaonekana kweli!
wtoto waliongea mambo yanayojulikana na wakubwa tu!
Kama watz bado hawaamini,wajiweke kwenye viatu vya wazazi hao,au mfikirie binti yako mdogo halafu awe ametendewa mambo hayo!
 
lakini, kama kweli huyo mtu alifunua vichupi vya amabinti zetu makinda namna ile, basi mi ningemnyonga, nisingemruhusu kuendelea kuishi, na kaburi lakeningeamuru libandikwe pale nakala ya picha yake akinyongwa pamoja na nakala ya hukumu yake na nakala nyingine aingie nayo kaburini.

ilinima na bado inaniuma sana....................

Ni jambo linalotia uchungu vitoto vile vilikuwa sawa na umri wa kabinti ketu; aisee moyo ulinifa ganzi na kwa kweli hakuna sababu ya yeye kuonewa na wala hiki sio kisasi kama wengi mfikirivyo; Hakuwa mtaji wowote kwa mwanasiasa yeyote! mtu mmoja wa karibu andai kuwa jamaa alikuwa anchukua movie za huyo uhayawani wake na alikwisha piga hela ya kufa mtu huko ughaibuni.

Hebu piga picha nyie mlio na watoto humu ; jr ama binti yako awe anaonekana akitendwa na atazamwe ulimwengu mzima! Vuta hisia na utafakari! Mie ningeongeza pamoja na kung'olewa macho yao wasione milele!
 
Back
Top Bottom