Was Jesus a Muslim? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Was Jesus a Muslim?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by BigBros, Dec 30, 2016.

 1. B

  BigBros JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2016
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 1,210
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Robin Scott Scott shared this on her Facebook page:

  Christians and Muslims are more alike than different.

  Please read that which I have discovered - Robin

  1. Jesus taught that there is only One God and Only God
  should be worshipped as taught in Deut 6:4, Mark 12:29.
  Muslims also believe this as taught in the Qur’an verse
  4:171.

  2. Jesus didn’t eat pork as taught in Leviticus 11:7 , and neither do Muslims as taught in the Qur’an verse 6:145.

  3. Jesus greeted with the words “as salaamualaikum” (Peace be with you) in John 20:21. Muslims also
  greet each other this way.

  4. Jesus always said “God Willing” (inshallah), Muslims say this too before doing anything as taught in the Qur’an verses 18:23-24.

  5. Jesus washed his face, hands, and feet before praying.
  The Muslims do the same.

  6. Jesus and other prophets of the Bible prayed with their head to the ground (see Matthew 26:39). Muslims do too as
  taught in the Qur’an verse 3:43.

  7. Jesus had a beard and wore a throbe. It is Sunnah for Muslim men to do the same.

  8. Jesus followed the law and believed in all the prophets, (see Matthew 5:17). Muslims do too as taught in the Qur’an
  verses 3:84, and 2:285.

  9. Jesus’ mother Maryam dressed modestly by fully
  covering her body and wearing a headscarf (hijab) as found in 1 Timothy 2:9, Genesis 24:64-65, and Corinthians 11:6.
  Muslim women modestly dress the same as taught in the Qur’an verse 33:59.

  10. Jesus and other prophets of the Bible fasted up to 40 days (see Exodus 34:28, Daniel 10:2-6. 1Kings 19:8, and Matthew 4:1-Muslims do so also during the month of Ramadan. Muslims are required to fast the full obligatory 30 days (see Qur’an 2:183), and others take it a step further
  by fasting an additional 6 days to increase their rewards.

  11. Jesus taught to say “Peace to this house” when
  entering it (see Luke 10:5), and to also greet the people in the house with “peace be unto you”. Muslims do exactly what Jesus did and taught. When we enter our homes and the homes of others we say “Bismillah” and also greet with
  “as salaamu alaikum” (peace be upon you) as taught in the
  Qur’an verse 24:61.

  12. Jesus was circumcised. Circumcision is 1 of the 5 fitrah in Islam, so Muslim men are required to be circumcised.
  According to the Bible in Luke 2:21, Jesus was eight days old when he was circumcised. In the Torah, Allah/God stated to the Prophet Abraham that it is an “Everlasting covenant” (see Genesis 17:13). In the Qur’an verse 16:123
  Muslims are required to follow the religion of Abraham. The Prophet Muhammad said, “The Prophet Abraham
  circumcised himself when he was eighty years old.”

  13. Jesus spoke aramaic and called God”Elah”, which is pronounced the same as “Allah”. Aramaic is an ancient, Biblical language. It is one of the Semitic languages that also include Hebrew, Arabic, Ethiopic and the ancient Assyrian and Babylonian language of Akkadian.
  The Aramaic”Elah” and the Arabic “Allah” are the same.
  The Aramaic “Elah” is derived from the Arabic “Allah”, and it
  means “GOD”. “Allah” in Arabic also means”GOD”, the Supreme GOD Almighty. You can easily see the similarity in their pronunciation so this concludes that the God of Jesus is also the God of the Muslims, of all mankind, and all that exist.

  (Do share to promote religious understanding & peace in the world)
   
 2. m

  marikiti JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2016
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,686
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  bila kulazimisha yesu ni ustaadh
   
 3. B

  BigBros JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2016
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 1,210
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Ni wazi kuwa Yesu alikuja na mafundisho ya dini moja tu kama mitume mingine nayo duni hiyo ni ISLAM.
   
 4. Mudawote

  Mudawote JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2016
  Joined: Jul 10, 2013
  Messages: 4,684
  Likes Received: 2,971
  Trophy Points: 280
  Ukisema ktk jina Yesu Kristo majini na mapepo yanapiga kelele yakiungua moto, ila sijawahi kusiki madhara ya jina la Mohamed.

  Iko hivi: Yesu hakuleta dini wala dhehebu, alileta ukombozi kupitia msalaba. Ndiyo maana nyumba ya Mkristo wa kweli haina zindiko la majini wala mapepo. Mkristo wa kweli aliyeokoka hazindiki watoto wala familia yake. Mchawi akiingia nyumba ya Mkristo wa kweli ataungua moto.

  Sijui kwa waislam maana wao na majini na uganga ni damu damu.

  Na ndipo hapo napothibitisha Yesu Kristo hakuwa Muislam!

  Na ndiyo maana sehemu kubwa ya uislam imetumika kuua watu kwa kuchinja wakitumia jina la Mohamed.

  Sikatai kuwa ukristo ulishawahi kutumika vibaya ila kwa kipindi hiki uislam is a curse! Uislam wa sasa hauamini ktk diversity.
   
 5. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2016
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,863
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Yesu ni mwislamu au waislamu ni wakristo maana hayo ya Yesu yametokea kabla hata uislamu haujaanza
   
 6. MANCNOO

  MANCNOO JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2016
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 294
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 80
  Duuuh!!
   
 7. Tamama

  Tamama JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2016
  Joined: Mar 15, 2016
  Messages: 829
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 180
  katika list yote hizi mbili hazina mashiko ni sawa niamue kuita God badala Mungu haimaanishi me sio Mtanzania
   
 8. F

  Farudume JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2016
  Joined: Jan 10, 2013
  Messages: 3,823
  Likes Received: 2,779
  Trophy Points: 280
  Ukristo ulikuwepo kabla ya Uislamu.
  Anaitwa YESU KRISTO na wafuasi wake ni Wakristo.Hakuna YESU ISLAM wala mfuasi wake anayeitwa Muislam.
  Kitabu kinachotumika kwa wafuasi wa Yesu ni Biblia na humo ametajwa Yesu Mara nyingi sana.
  Kitabu kinachotumika na Waislam ni Quran na humo hajatajwa Yesu hata mara Moja.
   
 9. black sniper

  black sniper JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2016
  Joined: Dec 10, 2013
  Messages: 4,919
  Likes Received: 1,678
  Trophy Points: 280
  Jesus ametajwa mara 25 kwenye Quran na Mohammed mara 4
   
 10. m

  marikiti JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2016
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,686
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  na wale wanaopungwa kule kwa walokole tuwaiteje
   
 11. Mkwawe

  Mkwawe JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2016
  Joined: Jun 10, 2016
  Messages: 960
  Likes Received: 1,681
  Trophy Points: 180
  Kwa Mantiki Hiyo Basi Asili Ya Uislamu Ni Ukristo Mana Yesu Alikuwako Kabla Ya Uislamu, Na Kama Alifanya Haya Yote, ina maana waislamu ndo hufuata nguzo nyingi zaidi alizofanya Yesu Kristu, kwa hiyo waislamu ni wafuasi wa Kristu hivyo wanatakiwa waitwe WAKRISTU "B"
   
 12. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2016
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 3,432
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Kitu ambacho waisilamu wanakuwa wagumu kukikubali ni kuwa mtume Mohamed( S.A.W) alikuja miaka mingi baadae baada ya Yesu kupaa mbinguni, alikuta imani ya ukristo na vitabu vya vyao, japokuwa inasemekana alikuwa asiye jua soma, lakini alisikia hadithi nyingi kuhusu vitabu hivyo, na mambo mengi aliyatoa huko na kuingiza katika iman aloanzisha.

  Kuhusu uvaaji wa Yesu, hiyo siyo tija kwamaana ndo ulikuwa ni mfumo wa uvaaji wa ulimwengu wa mashariki ya kati kwa kipindi hicho, halikuwa vazi la dini ndo maana hata Warumi walilivaa japokuwa walikuwa na iman tofauti na Yesu.
   
 13. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2016
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 3,432
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Wanadai kuwa issa bin mariam ni Yesu, mimi nakataa kabisa, ukiangalia hadithi ya kuzaliwa Issa nitofauti na ya Yesu, Mariam mama wa Yesu ni tofauti na Mariamu mama Issa.
   
 14. m

  momentoftruth JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2016
  Joined: Jul 5, 2014
  Messages: 843
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Hoja alizozileta mtoa mada hapo juu zikienda sambamba na nukuu zamaandiko unakubaliana nazo ama unazikataa!!hili ndio jambo lakulifanyia kazi!!haya funguka sasa
   
 15. s

  std vi Member

  #15
  Dec 30, 2016
  Joined: Jul 28, 2016
  Messages: 93
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 25
  labda tujiulize swali simple, kadiri historia ya maandiko inavyoonyesha ni kwamba mtume Muhamed S.A.W alikuja miaka mia sita baada ya Yesu Kristo nadhani hata ukiangalia kalenda za kiislamu ziko nyuma hivyo kabla ya kalenda ya kirumi tunayotumia . Je kabla ya kuja mtume kulikuwepo waislamu wakristo au walikuwepo wakristo tu. naomba wenye ufahamu wa haya masuala tuelimishane
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2016
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,276
  Likes Received: 3,950
  Trophy Points: 280
  Hata Abeid Amani Karume alikuwa mwanachama wa CCM habla hajafariki.........
   
 17. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2016
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 3,432
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  W
  asalaam aleikhum sio salaam ya kiisilamu, ni salaam ya lugha ya kiarabu, ni lugha ilikuwepo kabla ya Mohamed, wasichojua hawa ni kuwa kutumia neno hilo la kiarabu halifanyi mtu kuwa mwisilamu kwamaana lilikuwepo kabla ya iman hiyo.
   
 18. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2016
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,740
  Likes Received: 4,391
  Trophy Points: 280
  mimi huwa naamini waislam ni tawi la wakristo wanaompinga kristo.kilichofanikiwa kuficha baadhi ya hili ni upotevu wa historia ya miaka hiyo wwkati unaanza. TUKIJIKITA KIHISTORIA MIAKA HIYO HAPO MIDDLE EAST NA HAWA WAANZILISHI WALIZUNGUKWA NA WATU WA AINA GANI KUNA MENGI YA KUJIFUNZA. KUNAHAJA YA KUANZA KUJIFUNZA UKRISTO NA UISLAMU KWA MKUKTADHA WA KIHISTORIA . MAANA HAYA MAMBO YAKIJADILIWA KIDINI KUNAKUWA NA MWANYA MDOGO SANA WA MAKUBALIANO. PIA AGREEMENT WILL BE MET AT INFINITY
   
 19. D

  DOMA JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2016
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Miaka mia saba baada ya kuzaliwa kupaa kwa Yesu kristo ndo dini ya kisramu inaanza. inahitaji kutoelewa historia na ulevi wa kiarabu Ili kudanganyanywa kwenye hili
   
 20. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2016
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 3,432
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Mkuu tutafutie hii utuletee
   
Loading...