Warumi ndiyo waligundua vyoo. Vyoo vya kwanza vilikuwa na muonekano huu...

Walipenda starehe mno enzi hizo hata muafrika hajagundua matumizi ya kigunzi wala kufanya mapinduzi ya matumizi ya kona kwa kujisafisha.
 
... na vya ile jinsia pendwa vilikuwa hivyo hivyo kama vya hiyo miamba iliyokakamaa hapo?
 
Na wala hawakuwa na degree za civil engineering
yaani ukifika maeneo yote waliyotawala warumi, hutaamini technolojia ya majengo yaliyojengwa miaka zaidi ya 2000 iliyopita, ambayo mtu hata akimaliza udsm engineering pale, hana uwezo kujenga. huwa nashangaa sana.
 
Mkuu shida ni Elimu au nini maana unacho zungumza ndo ukweli wenyewe
 
Nani aliviumba hivyo vyoo? Kama waligundua inamaana vilikuwepo ila hakuna aliyegundua kabla ya warumi sehemu vilipokuwa
 
Kuna watu mpaka leo nchi hii hawana au hawatumii vyoo!
 
Avodius yukowapi hapo ,baba na constantino ,ishara yamsalaba ilifanya constantino kushinda vita..
 
Back
Top Bottom