Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Ivi mnajuaje kama mtu kwa mpalange hapafai.. ? Siku hizi imekuwa kama halali kabisa watu kula kwa mpalange eeh 😭😭😢😢😢😢.. Mungu aturehemu watu wake
Mungu atusamehe tu si habari nzuri kuskia ila siku hizi watu wanaweka wazi tena sometimes wao wenyewe watendaji wanajisema kabisa
 
Yaan nilishuhudia lile baby shower mwanzo mwisho, mweeeh tumbo kubwa ila matashititi yake ni motroooooooh lol.
Heka heka take huyo mama kijacho, mweeeeh.
Aisee hadi nahisi huyo angel huko tumboni kachoka na heka heka za mama yake akitoka atapumzika😀😀
 
Sijui hawa akina wolper , aunt Ezekiel , wema na wengine sijui wanafikiriag nini ku date na vitoto na kuwatunza na wao wanajifanya eti wameolewa mxieew

Inshort lulu kawapiga shoti moja matata sana, sura zao hawana pa kuziweka, m mama mijitu mizima akili hawana wala elimu hawana kazi umalaya tu mxieew

Na wasipobadilika hakuna mwanaume wa maana watapata, wataishia kuhonga vijana had wakome na wakifulia wanakimbiwa

Yan hii misanii ya bongo movie huwa inanitia hasira sana Yan
khaaaaah.
 
Hvi hyo mimba ni ya nani hasa maana kampost baba tofauti, nimpongeze kuamua kuzaa
Sasa huyo Amber hata mwenye mimba anamjua? Km alikua chama la wana na anauza match buree bila kiingilio lol.
, ila ile ya majan , mbna majan na mkewe wanapanick San lol.
 
Mh! sisi tuko karibu na chato huku,mlioko mjini tupasheni habari nasie jioni tukang'are vijiwe vya tangawizi
 
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....

Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu

Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei

Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
Amber amekanusha kuhusu majani, hizo other couples tumeshazoea. If I was ever a celeb nisingependa kupublicize mahusiano yangu coz mkiachana inaanza kua shida Tena kufuta posts etc. Wapo waliochorana majina tattoo wakaachana wakaanza kuhangaika kufuta. Nawaelewa sana macelebs wanaokeep rlships zao Pvt.
 
Back
Top Bottom