TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,049
- 3,301
Pole
Niliwaambia wabongo kuwa hata ukiwa na baiskeli ambayo haina shida yeyote, huwezi kujifananisha na mtu mwenye gari ambalo lina puncture. Go to your lane brother.Siku hizi Ghana, Rwanda ndiyo wako level moja na nyinyi. Saa hizi tunajipima nguvu na Morocco , Algeria , Egypt , SA