WARNING: wenye vigari vidogo acheni ubishi Mwanza to Chato

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Moja kwa moja kwenye mada

Kama Kuna mwana Jf humu Muda huu yupo njiani anaelekea Chato kwaajili yakumpumzisha mpendwa wetu kesho naomba nitoe angalizo wenye vigari vidogo mmekua wasumbufu.

Mnataka LIGI na Team Cruiser mnasahau tunaelekea kwenye msiba njiani Kuna Driver wa kila Aina manaweza kusababisha ajali Muda wowote naomba kwapamoja tuwe watulivu.

team_cruiser-___CM2RehTpLhW___-.jpg
 
Huyo mwanamke kamchapa risasi twiga wetu?!!
Animal lovers tulikasirika sana kuhusu hii picha. Hadi tulimtumia death threat. Hata kama alijitetea alipewa kibali hatukusikia. Huyu twiga alikuwa rare sana black giraffe. South Africa wildlife walijitetea eti alikuwa mzee. This act was unacceptable na huyo mwanamke hadi leo anaishi kama digidigi.
 
Sasa si ni vyao,mbona hayo cruiser unayotumia unaweza kubadilishwa baada ya kumpata makamu wa Rais kesho kutwa
Jamaa anatulingishia gari yenye usajili wa STL!! Ngoja kesho ipite kwanza ili atupe mrejesho wa hatma yake.
 
Moja kwa moja kwenye mada

Kama Kuna mwana Jf humu Muda huu yupo njiani anaelekea Chato kwaajili yakumpumzisha mpendwa wetu kesho naomba nitoe angalizo wenye vigari vidogo mmekua wasumbufu


Mnataka LIGI na Team Cruiser mnasahau tunaelekea kwenye msiba njiani Kuna Driver wakila Aina manaweza kusababisha ajali Muda wowote naomba kwapamoja tuwe watulivu View attachment 1734398
Walau wewe unaonekana upo na connection siyo kama johnthebaptist hata nauli ya kivuko hana sasa hv kajificha Kihesa anarusha nyuzi mpya kila baada ya dk 5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom