WARNING! Tahadhari ya WIZI kwa Wasafiri Uwanja wa JNIA

Status
Not open for further replies.
Frankly speaking siku zote natumia combination lock. But why stealing people's property at the airport hata kama lilikuwa hakuna kufuli!! Imagine someone coming from a honeymoon in Serengeti au Zanzibar and all his/her photos lost!

Mkuu wewe ni mtanzania ama mzungu? Siutumie lugha yako ueleweke kwa sote..hii lugha/english waachie wenyewe
 
Wezi bwana hata mafuta ya kina Mama wakati mwingi wanaambiwa hutakiwi kusafiri na mafuta nyuma yake nikugawana, jambo muhimu nikutoa maelezo kabla abilia hajakaguliwa vitu vya kuacha, kwenye chumba chaukaguzi mwanzoni kabisa, ili abilia awachie Ndugu zake vitu vyake, watu wengi hawatendewi haki

Umeongea ukweli kabisa..
 
Haya maisha haya... Yamekaba sana wizi, udokozi na hata ujambazi na mauaji utekaji vitashamiri sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom