Warning Kusafisha computer (Usitumie njia hii utaiuwa computer yako)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
oldWatch.php

oldWatch.php

Tafadhali Usije kutumia njia hiyo Utaiuwa Computer yako Mchanga wa pwani huo mimi simo....................
 
Kwa kupitia thread hii, naomba msaada wa namna nzuri ya kusafisha Lap Top. Mimi huwa natumia kitambaa laini lakini imegundua kwamba Laptop imekua na michubuko. Nifanyeje ndugu zanguni?
 
Kwa kupitia thread hii, naomba msaada wa namna nzuri ya kusafisha Lap Top. Mimi huwa natumia kitambaa laini lakini imegundua kwamba Laptop imekua na michubuko. Nifanyeje ndugu zanguni?
Kitambaa laini ni njia nzuri ila kinabidi kiwe na unyevunyevu wa sabuni na kabla ya kusafisha zima laptop.
 
Kumbe kuna wazungu mambumbumbu! nilikuwa najua wazungu wote ni wajuaji ndio maana nchi zao zikawa na maendeleo hivi tunavoziona.

sio mbumbumbu hii ni njia nzuri tu , cha msingi baada ya hapo iatakiwa aziache kwa muda mrefu sana ili maji yaishe kabisa, hata mi huwa nafanya hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom