Warning kama moyo wako ni mdogo tafadhali usiangalie hii picha


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,095
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,095 2,000
HII NI VIDEO YA WACHAWI WALIODONDOKA NA UNGO, WAPIGWA, WACHOMWA MOTO NA KUFARIKI HAPO HAPO!!!
INASIKITISHA mno kuiangalia video hii lakini hatuna budi sote tukubaliane na ukweli kwamba uchawi si kitu kizuri. Tukio hili linahusisha wachawi wanne (wawili wanawake na wawili wanaume) walipodondoka na ungo walipokuwa katika harakati za kwenda kuroga kwenye nyumba za watu huko NCHINI NIGERIA.

Taarifa zaidi zinaseama kuwa wachawi hao waliodondoka mara baada ya kile kinachhonekana kuwa ni upinzani kutoka kwa wengine wenye nguvu kuliko wao kuidondosha ndege yao(UNGO) kwenye mishale ya saa kumi ALFAJIRI.Kilisikika kishindo kizito sana wakati wa mwanguko huo na hivyo kupelekea wanachi ambao ni majirani wa hapo karibu kuanza kutoka nje kushuhudia ni nini kimetokea na ndipo walipopigwa na butwa pale walipowakuta wachawi hao wanne wakiwa wamedondoka chini huku wakiwa hawana nguvu tena ya kupaa!!

Wananchi walizidi kuongezeka mno na hivyo kujaza umati katika eneo hilo,Mwandishi wetu ambae yupo kikazi nchini humo alitupenyezea mkasa huo amabo umeshika fikra nyingi ndani na nje ya nchi hiyo kubwa BARANI Africa.

Mwandishi wetu anadai kuwa mara baadaya kukamatwa wachawi hao walikusanya na kuwekwa mbaele ya hadhara ya watu na kuanza kushambuliwa na watu wenye hasira kali.

Wanachi ambao walionekana kuchoshwa mno na vitendo vya kichawi nchini humo walianza kuwashambulia kwa kuwachapa FIMBO na silaha mbali mbali.HATIMA ya wachawi hao ilifika pale wananchi hao waliwamwagia mafuta na kuwateketeza mpaka kufariki.NARUDIA TENA, video hii inasikitisha mno jamani. kwa hiyo kabla ya kuiangalia ningependa nitoe angalizo lifuatalo;

VIDEO hii isiangaliwe na watu walio chini ya umri wa miaka 18, Na ingekuwa vizuri kama wasomaji wetu mnapoiangali video hii basi mjitahidi kukaa mbali na mazingira ya watoto kwani tutatengeneza tabia kama hii ya ukatili bbaina yao.

Kama kawaida yetu binadamu mara nyingi huwa hatufanani mitazamo, kwahiyo ningependa kuchukua nafasi hii kuomba msamaha kwa yeyote ambaye VIDEO hii itamkwaza kwa namna moja ama nyingine.

Kuiona hii Video bonyeza hapa HII NI VIDEO YA WACHAWI WALIODONDOKA NA UNGO, WAPIGWA, WACHOMWA MOTO NA KUFARIKI HAPO HAPO!!!

Sisi Wa-Tanzania ni Watu Wabaya sana tunawauwa hao tunaowaita Wachawi uuwaji wa aina hii jamani? hii jamani ni dhuluma kubwa sana Waliofanya Kitendo hichi cha uuwaji hawa wanadhaniwa kuwa ni Wacha Mungu atawalipa.
 
BHULULU

BHULULU

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Messages
4,904
Points
1,250
BHULULU

BHULULU

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2012
4,904 1,250
Hatari sana,lakini mbona haijaelezwa ni Tanzania sehemu gani?
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Points
1,250
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 1,250
Mimi nilifikiriaga kuwa Wachawi wana ngufhu, kumbe ni wale wale tu, choma moto wote hao, :rofl:tuone jinsi watakavyo jigeuza na kuwa hewa. :target:
 

Forum statistics

Threads 1,295,830
Members 498,404
Posts 31,224,572
Top