Warning Kama huna roho ngumu Tafadhali usiangalie hii picha

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
167081_183977101635471_100000695463317_471383_1893776_n.jpg


Huu unyama wa Polisi wa afrika sijuwi ni nchi gani huko kwetu afrika ahhhhhhh
 
Hii picha imezagaa sana kwenye facebook naona umeamua kutuletea na huku jf, dah! Jamaa ana roho ngumu sana huyu. Yaani amekaa anasubiri aende hospital lol! Naamini pia alipata dakika za kumkumbuka mungu wake.
 
Hapa machozi yananitoka leo ni siku mbaya nimesoma thread moja ya Majjaliwa nimelia nimekimbilia huko nako ni balaa

Bye jamani tuonane kesho kukiwa kwema
 
Mungu wangu. Unawezaje kumfanyia unyama kama huu binadamu mwenzako.
 
Back
Top Bottom